Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Chinese dog walks like a human, on its hind legs.
Last edited by a moderator:
Sijakuelewa mpaka sasa una maana gani wewe kusema hivyo Mkuu Tee BagMziziMkavu ulivyoiwacha bongo sivyo ilivyo sasa, hizi YouTube tunaomba ulipie kabisa huko huko, toka Mbarawa aweke mkongo wa taifa ni shida tu.
MB 8 ndio nini mkuu Tee Bag
Na zinaisha kwa supersonic speed
Hebu uweke huo wimbo wa MB8 hapa Mkuu Tee Bag
MB 8 mkuu
Speed ya kwangu mimi hii hapahahahaaa! MziziMkavu sasa hivi mitandao yote bongo ni mb 8 isipokuwa airtel