MbuziMzee ndani ya BENZI

Haha ha ha!
Huku unakunywa savanna. Naomba lifti
 
Jamani milishawahi kufikiria kwamba kusingekuwa na Dunia na Viumbe kungekuwa na nini?
 
Jamani inawezekana huo mchuma ulipata ajali jamaa akiwa anaendesha, akajikuta umechanika yeye bado anabwia.........chanzo cha ajali kuendesha huku unakunywa
 
Masaburi yake ndio matairi yake..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…