CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Mmmh! We' mwana una visa wewe!
Wapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!
Mmmmm, umemsahau kaka yangu BujiBuji, naye huwa analeta picha murua!!! Mbona mimi umenisahau jamani kunisifia!!!
Wapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!
Wapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!
Thanks for the complements. It is always pleasure to save you.
sometimes unaboa na 2 much photoshoped pics!:glasses-nerdy:
Asante sana mkuu kwa complement kwa watu ambao wanatumia muda wao kuipa JF habari. There are so many of them, umeweza kutaja hawa kina Mbuzi Mzee na Mzizi Mkavu. Ila pia kuna wale ambao wanatupa social media hapa hasa za maisha kama kina Lara 1 na wengine. Receive our tributes GUYS.
Ndio enjoyment zenyewe hizo mkuu! Sio kila siku real tu! Imebidi nimtetee!
KAMA UNABOEKA NA WEWE WKA ZA KWAKO, MIJITU MINGINE BAANA:evil:sometimes unaboa na 2 much photoshoped pics!:glasses-nerdy:
Mbuzi Mzee na Mzizi Mkavu, shukran kwa kulichangamsha jamviWapendwa kwa nia nzuri naomba kuwajua hao watu wawili hapo juu. Nawapenda wanavyotoa picha za kuburudisha na kuelimisha. I do enjoy them very much! Najua humu JF kila mmoja has to remain at large INCOGNITO!!!!!!!!!!!!!!!!