Mbuzi wachana mabango ya CCM

Mbuzi wachana mabango ya CCM

jikwete

Senior Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
157
Reaction score
71
Mbuzi waamua kuchana mabango ya ccm...kisa ni kuchukizwa na CCM jijini dar:thumbdown::thumbdown:😡😡
attachment.php
 

Attachments

  • 1442329037406.jpg
    1442329037406.jpg
    23 KB · Views: 2,924
Dha! Jaman nmecheka sana umeniacha hoi
 
Hata mbuzi wamechshwa na utawala Wa ccm nao wanataka mabadiliko.
 
Hata mbuthii hawaitaki hicho chamaa thembuthe mm?? Hahahaha mwe!
 
Mbuzi waamua kuchana mabango ya ccm...kisa ni kuchukizwa na CCM jijini dar:thumbdown::thumbdown:😡😡
attachment.php

Wamemkumbuka JPM ambaye alikuwa Waziri wa Mifugo na hakuwajali baba na mama za ukoo wao!
 
saburi hazikubaliki mpaka na mifugo.....uliyepanga kumchagua fikiri mara mbili...
 
mbuzi huyu ana akili kuliko hata baadhi ya watanzania
 
Hao ndio mbuzi wa karne ya 21 hawataki mzaha na ninahisi miaka ya mbeleni nao mbuzi watakuja kuanza kupiga kura Baada ya kuanza kujua jinsi ya kuzitumia nafasi zao.
 
Back
Top Bottom