mbuzi wa maziwa

Kama uko dar na uko serious nitakuelekeza mbuzi walipo,na unapewa mbuzi mwenye mimba tayari. Ni-pm nikupe jibu la haja yako.
Je mbuzi wale bado wapo na jinsi gani naweza pata?
 
Ahsante mkuu sijui beui yake ni kiasi gani nahitaji mwenye mimba.
 
Kuna mwana jamii mmoja yuko shinyanga
alisema kule alipo kuna mbuzi kama hao
pia wapo wanaozaa vitoto viwili viwili;

Naweza amini kuwa kwa hiyo bei
inaweza nunua hata mbuzi zaidi ya
wawili jumlisha gharama za usafiri.

Kuna mwaka na mimi nitawaagiza,
sasa naweka mazingira sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…