Muda mwingine hua natamani nijiue tu nkapumze ila nakumbukumbuka kufanya hvyo ni dhambi kubwa na mwshowe ni motoni.
Mwaka 2010 nlishndwa kuendelea na advance kwa matatzo ya kifedha.
Mwaka huohuo nkaomba JWTZ kwakua ckua namtu nltolewa
Mwaka 2011 nkafanya intavyu ya pols nkafanya vzur kla cfa ninayo ila pia wakantoa...
Mwaka huohuo nkajiunga nachuo cha klmo kusomea chet nkamalza 2013 mwez wa7 nkakaa hom kusubr ajra mara JKT wakatangaza nafas
Nimeomba ila kwenye usail wa mgambo wlaya naambiwa natakiwa niwe nimezaliwa 1991 sasa cwanataka miaka23 mm cjatmza miaka 24 kaml
namm nmezaliwa 10/10/1990 mpaka mwez wakum ndo natmza miaka 24 ila wamentoa sasa nfanyaje jaman??
Pole mdogo wangu, kitu cha msingi ni kutokata tamaa kuna siku inakuja tutafanikiwa tu.Nami ni mhanga sina kazi kila nnapo apply. kimya.Lets never give up!!
"I've failed over and over and over again in my life and that is why I succeed." - Michael Jordan
Abraham Lincoln Didn't Quit
- 1816 His family was forced out of their home. He had to work to support them.
- 1818 His mother died.
- 1831 Failed in business.
- 1832 Ran for state legislature - lost.
- l832 Also lost his job - wanted to go to law school but couldn't get in.
- 1833 Borrowed some money from a friend to begin a business and by the end of the year he was bankrupt. He spent the next 17 years of his life paying off this debt.
- 1834 Ran for state legislature again - won.
- 1835 Was engaged to be married, sweetheart died and his heart was broken.
- 1836 Had a total nervous breakdown and was in bed for six months.
- 1838 Sought to become speaker of the state legislature - defeated.
- 1840 Sought to become elector - defeated.
- 1843 Ran for Congress - lost.
- 1846 Ran for Congress again - this time he won - went to Washington and did a good job.
- 1848 Ran for re-election to Congress - lost.
- 1849 Sought the job of land officer in his home state - rejected.
- 1854 Ran for Senate of the United States - lost.
- 1856 Sought the Vice-Presidential nomination at his party's national convention - get less than 100 votes.
- 1858 Ran for U.S. Senate again - again he lost.
- 1860 Elected president of the United States.
boriti boriti boritiUna tatizo ambalo hujaweza kuligundua...Mfano angalia uandishi wako tu uajieleza..sasa kabla hujapanga tena kujiua kaa chini na ujianyie tathmini!
Thax kaka kwa kunfariji.
Muda mwingine hua natamani nijiue tu nkapumze ila nakumbukumbuka kufanya hvyo ni dhambi kubwa na mwshowe ni motoni.
Mwaka 2010 nlishndwa kuendelea na advance kwa matatzo ya kifedha.
Mwaka huohuo nkaomba JWTZ kwakua ckua namtu nltolewa
Mwaka 2011 nkafanya intavyu ya pols nkafanya vzur kla cfa ninayo ila pia wakantoa...
Mwaka huohuo nkajiunga nachuo cha klmo kusomea chet nkamalza 2013 mwez wa7 nkakaa hom kusubr ajra mara JKT wakatangaza nafas
Nimeomba ila kwenye usail wa mgambo wlaya naambiwa natakiwa niwe nimezaliwa 1991 sasa cwanataka miaka23 mm cjatmza miaka 24 kaml
namm nmezaliwa 10/10/1990 mpaka mwez wakum ndo natmza miaka 24 ila wamentoa sasa nfanyaje jaman??
Hapo kwenye nyekundu , iyo koz ulosomea hauwez kujiajir ama mkaunda kikundi mkanunua shamba na ndo umesomea kilimo
Umechoandka nn sahh kabxa ila tambua bahat nasbu il ucheze unahtaj fedha xaxa fedha natoa wap?
Nakama fedha ninayo kwann ncheze bahat nasbu c bora nijiingze moja kwa moja tu ktk klmo ukiona hvyo MTAJI CNA
Jamani wadau hivi nafasi za magereza zitatoka lini????????/
Daaa! hata mimi nazitaka bwana mwenye taarfa atujuze
maana mi nafatlia xana lakn cjafankiwa lakn nataka
niandke barua ya maombi kwenda kwa MEJA JENERALI
RAPHAEL MUHUGA ambae ni Mkuu wa Jkt
Daa! kwel Tanzania noma toka july natembelea mtandao wa
wa pols uhamiaj cjawah kukuta tangazo la kaz wameweka bayana
ila chakushangaza leo nakuta tangazo lawaliochaguliwa
sasa najiulza wanatangaza wap nafas hz daaa! matumain yangu
juu yakaz yanaddmia day after day jaman magereza mktoa naomba
mtangaze kama polc bla hvyo cc wanyonge tutaozea nyumban
Umechoandka nn sahh kabxa ila tambua bahat nasbu il ucheze unahtaj fedha xaxa fedha natoa wap?
Nakama fedha ninayo kwann ncheze bahat nasbu c bora nijiingze moja kwa moja tu ktk klmo ukiona hvyo MTAJI CNA
mkuu ni vizuri pia ukabadili mtazamo na fikra zako katika ajira.
Naona umebezi kwenye majeshi tuu!
Posts zako nyingi unaulizia nafasi za kwenye majeshi tuu. Kuwa na plan b ikiwezekana na c pia. Badilika mkuu game imekuwa ngumu sana.
Mkuu unachukulia mambo kirahisi rahisi sana!Cjaseme ucheze bahati nasibu!! Nimesema Ajira nyingi zimekuwa ni Bahati nasibu , nikaongeza c lazima uwe peke ako mfano unaweza kuwatafuta vijana uliomaliza nao certificate , mkaandika project proposal ya kilimo( nategemea nyie ni wataalam) hata ukija kutangaza humu kwamba una project proposal huwez kukosa sponsors kama mradi wenyewe utakuwa unaonyesha kwamba unalipa!!
ebana hata mie inshantokea mwaka jana mwezi wa tatu mwanzoni. Nilifanya interview na company fulani maarufu round mbili za oral interview na ajira ilitakiwa nipewe mkataba lakini mpaka leo sijui ilipotelea wapi pamoja na follow up nilizofanya nikaambulia danadana.
Ikawa ndio kama nuksi, mpaka wa leo sijaitwa kwenye interview yoyote.
Ajira ni ngumu, yasikie tu kwa mwenzako
Mkuu unachukulia mambo kirahisi rahisi sana!
kweli unajua kama kama hayajakufka utaona kama mwenzako anaandka mambo yakijinga ila we acha tu
siri ya mtungi aijuae kata