Mbuzi wa kufuga wanahitajika

kmwemtsi

Senior Member
Joined
Nov 7, 2010
Posts
125
Reaction score
2
Nahitaji mbuzi kwa ajili ya kufuga, wakipatikana wanaozaa watoto wawili itakua poa zaidi. Idadi ni 50-200. Mtu yeyote anaeweza kuniuzia au kuniunganisha na muuzaji awasiliane nami kwa namba +255 627 509 498
 
Tutawasiliana ndugu, ili nikupe jibu la wapi wapo hao mbuzi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…