Tutawasiliana ndugu, ili nikupe jibu la wapi wapo hao mbuziNahitaji mbuzi kwa ajili ya kufuga, wakipatikana wanaozaa watoto wawili itakua poa zaidi. Idadi ni 50-200. Mtu yeyote anaeweza kuniuzia au kuniunganisha na muuzaji awasiliane nami kwa namba +255 627 509 498
Kuna huyu mbuzi anaitwa @Munawar unaweza kumchukua tu bure ukamfuge huko