mkuu umeenda mbali hadi kwenye pichu!!! hako kahadithi kanachekesha sana eti huyo mbuzi anabaka tena wale wanawake walio kwenye siku zao, wezi walijaribu kumuiba mara 3 anakuwa mzito ajabu wanamrudisha. hebu msomeni hapa:MBUZI WA AJABU ASTAAJABISHA WATU DAR - Global Publishers