Mbuzi mzee na mke wake huyooo

Huyo atakuwa ni mtu kweli au amevaa meno ya boxing !!
He is very scary !!!
 
Mbuzi Mzee huyo mke ni mali yako kweli au uliazima kwa jirani upige nae picha ili uturushe roho?
 
Last edited by a moderator:
sasa Mbuzi Mzee,na hicho kitambi...dushelele inapita kweli?
 
Last edited by a moderator:
Mbuzi Mzee huyo mke ni mali yako kweli au uliazima kwa jirani upige nae picha ili uturushe roho?

Mkuu, hii ni mali yangu, na asisogee mutu, nalinda na bastola. Maana vijana wa kileo kila kukicha ni kugonga mlango,
 
Mbuzi mzee kweli unajua chagua mke!!! Yaani ungechagua tena miraba minne kama wewe yaani ule mche wa usiku ungekuwa ni matanga!! Ha ha ha!! Tena inafaa sana wa yeye juuuu!!! Ha ha ha!! Hongera mkuu!! Nice couple.
 
Papaa mbudhi na jf fotoz, umetisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…