Umba Tuku JF-Expert Member Feb 4, 2017 2,101 1,270 Feb 20, 2017 #22 PROF NDUMILAKUWILI said: Click to expand... Alaf sasa huwez amin jamaa atasave kawaida
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,556 9,532 Feb 20, 2017 #24 Dawa ya mamba ni kwenda maji ya kina kirefu tu huwa hana jeuri atabaki kukutamani tu
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,280 Feb 20, 2017 #25 Daby said: Hahaha....utatamani ugeuke ndege Click to expand... Mkuu katika hali hiyo unaweza kusahau jinsia yako ghafla tu.
Daby said: Hahaha....utatamani ugeuke ndege Click to expand... Mkuu katika hali hiyo unaweza kusahau jinsia yako ghafla tu.
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,280 Feb 20, 2017 #26 Kingsharon92 said: Dawa ya mamba ni kwenda maji ya kina kirefu tu huwa hana jeuri atabaki kukutamani tu Click to expand... Si mpaka ujue kuogelea.
Kingsharon92 said: Dawa ya mamba ni kwenda maji ya kina kirefu tu huwa hana jeuri atabaki kukutamani tu Click to expand... Si mpaka ujue kuogelea.
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,648 75,737 Feb 20, 2017 #27 Sky Eclat said: Mkuu katika hali hiyo unaweza kusahau jinsia yako ghafla tu. Click to expand... ni hatari
Sky Eclat said: Mkuu katika hali hiyo unaweza kusahau jinsia yako ghafla tu. Click to expand... ni hatari
kipyola JF-Expert Member Nov 17, 2014 294 271 Feb 20, 2017 #28 Hata kama we ni fundi wa kupiga mbizi hapo lazima uchemke