Duh mkuu umenifikirisha sanaAmbacho hujatambua ni kuwa. Uyo muuza vitumbua anabiashara mbili. Kitumbua chakula na kitumbua mwili. Uyo ni tabia yake anauza kwa stail ya kipekee. Angalia isijekuwa wewe ndye mbuzi aliyefia kwa muuza supu.
huyu si Mtanzania ,lazima ni mgeni,je una kibali cha kuishi nchini?Unemubembeleza......Umemuchuna.......Umemuchemusha....Umemula......!
Duuu hicho kiswahili ni cha Tarime?
Kuandika hajuihuyu si Mtanzania ,lazima ni mgeni,je una kibali cha kuishi nchini?
Hauendi kazini?Yes yes kamanda
Wanaume was dar mnamatatizo sanaAman ya bwana iwe nanyi wapendwa katika bwana
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu
Ebhana ee mda huu mbuz kafia kwa muuza supu afu uzur ni asubuh kinoma yaan ndo mda wenyewe wa kuuza supu
Kuna mdada kaja hapa napoish ana uza vitumbua sasa kwa bahat nzur kanikuta mwenyewe hata mama mwenye nyumba hayupo
Sasa ile anabisha hod si nikamdaka nimemumbeleza vizur nikamwimbia kwani hivo vitumbua vyako ni sh ngap akadai ni vya elf tatu kama na mia saba hivi, lakin mimi nilivyo mtoto wa mjin nimemwambia nitavinunua vyote tena nitakuongeza na nyingine ifike elf tano, mwana si kakubali
Nikamdondosha chin nikaanza kumuchuna taratibu kuanzia kwenye unyayo had kwenye kisogo teteteeeeheeeee agigiii aggigigi nacheka masela hapa kwa furaha
Baada ya kumaliza kumuchuna nikaanza kumuchemusha alikuwa simple sana kuiva kama maharage ya mbeya vile, akaiva fasta nikapakua nikaanza kumla mazee
Nimemula kinoma mda huu niko naosha vyombo vyangu masela
Yaan nimemula nimepakua kama sahan tatu had muda huu
Mods huu uz muuache hapa hapa masela maana. Ni wa mapenz na mahusiano
LONDON BABY