Mbuzi dume 100 nanunua.....

Mbuzi dume 100 nanunua.....

Wafugaji/wafanya biashara ya mbuzi njooni hapa
 
weka namba kesho nikuunge na wauza mbuzi wa katavi nafahamiana nao utapata wote 100
 
Nauli ya gari ktk katavi itakuwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu chukuwa bus mpaka Katavi, lakini kabla hujafika hao wenyeji wako (wauza mbuzi) waombe wakutafutie usafiri. Na mkubaliane walipe robo ya usafiri mpaka utakapo wapeleka hao mbuzi. Kwani kununua mbuzi 100 ushafanya biashara kubwa kwao watakubali kusaidia usafiri tu.

Ndukiiiii

Sina wenyeji KATAVI....jamaa tu amesajesti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo pm Mimi nipo dodoma na utapata hiyo idadi ya mbuzi unao wahitaji
 
Back
Top Bottom