Kwanza uzito wao unaanza na 100kg mpaka 135kg madume
Ni mbegu bora na wakubwa sana uzito wa ng'ombe huo.
Tumechelewa sana Bongo na ukorofi wa serikali
Wenzetu watu wao waliokuwa majuu wamewekeza sana kwao kwa sababu wanaruhusiwa
Mpaka wanawake wengi nimewaona UG na kwingine wamekuwa matajiri sana kwa hizi biashara
Kuna kondoo pia wanaitwa Meat master na Droper nao wazito sana na ni hybrid
Sisi acha tushangilie tu
Hawa bei zao kubwa kwa sababu ni wakubwa sana
Hawa hapa ni Savanna, Boer na Kalahari
Jf kuna watu wamevamia wana akili za kipuuzi sana mtu anauliza jambo la msingi jitu zima linaleta ujinga ????Hebu acheni ujinga bwana kama hujui jambo kaa kimya .....