Ulipojisaidia pameota mti......Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja nimepanga kujenga lakini kila nikipanga kuanza ujenzi mambo yanavurugika pesa inasambaratika na umeota kwenye dirisha la watoto, mke wangu alikua aujui ndo akauacha nami nilikua siujui piano nilifikiri mti wa kawaida ndo maana sikuwekea maanani, leo vibarua wangu walikuja nyumbani ndio wakaniambia ni mbuyu, no umekua una urefu wa futi 18, je nikiukata utaniletea madhara? naomba ushauri wadau.
Sawa Mkuu.Mbuyu wa futi 18 umeota au umeukuta? yani hadi mbuyu wafikia futi 18 nadhani wewe ndo umeukuta hapo mana inakuwa kwa kidogo sana. Kwa huo urefu haina shida waeza ukata sema ikibidi chimba chini kwenye shina na utoe wote kwani ukiacha na hata mzizi mmoja tu utanyanyuka tena.
Kama wewe unawazia ushirikina naomba uache huo ujinga mana huo ni mti kama mti mwingine
Kwahiyo nao umeanza kama mchicha kweli.....?Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja nimepanga kujenga lakini kila nikipanga kuanza ujenzi mambo yanavurugika pesa inasambaratika na umeota kwenye dirisha la watoto, mke wangu alikua aujui ndo akauacha nami nilikua siujui piano nilifikiri mti wa kawaida ndo maana sikuwekea maanani, leo vibarua wangu walikuja nyumbani ndio wakaniambia ni mbuyu, no umekua una urefu wa futi 18, je nikiukata utaniletea madhara? naomba ushauri wadau.
Sawa Mkuu, ntalifanyia kazi.Tafuta viongozi wa dini wakusaidie ila usichukue mamuzi ya kwenda kukata tu ndugu.bado tunakuitaji JF
Sent using Jamii Forums mobile app