B businezz_oligarch Senior Member Joined Dec 16, 2012 Posts 145 Reaction score 35 Feb 5, 2013 #1 ivi hawa wenye hili gali jekundu wanaojiita fire...kwanini mji mzima wanak2o kimoja 2?????kwann wasweke kila wilaya atleast k2o kmoja,ingawa makampun bnafs yapo lakn kwa m2 wa kawaida moto ukiwaka hawa ndo msaada wao wa kwanza unaokuja akilin....
ivi hawa wenye hili gali jekundu wanaojiita fire...kwanini mji mzima wanak2o kimoja 2?????kwann wasweke kila wilaya atleast k2o kmoja,ingawa makampun bnafs yapo lakn kwa m2 wa kawaida moto ukiwaka hawa ndo msaada wao wa kwanza unaokuja akilin....
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,343 Reaction score 111,602 Feb 5, 2013 #2 Swali lako ni gumu aisee...!!!
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 Feb 5, 2013 #3 Rekebisha lugha yako. Are you writing an sms? Wino hauishi huo.
muwaha JF-Expert Member Joined May 13, 2009 Posts 740 Reaction score 148 Feb 5, 2013 #4 Lugha ya vifupisho wakati mwingine inaweza kufanya ujumbe wako usieleweke...andika kiswahili fasaha.
B businezz_oligarch Senior Member Joined Dec 16, 2012 Posts 145 Reaction score 35 Feb 5, 2013 Thread starter #5 muwaha said: Lugha ya vifupisho wakati mwingine inaweza kufanya ujumbe wako usieleweke...andika kiswahili fasaha. Click to expand... Daaah Ni kweli jombaa...mazoea yana tabu kweli.
muwaha said: Lugha ya vifupisho wakati mwingine inaweza kufanya ujumbe wako usieleweke...andika kiswahili fasaha. Click to expand... Daaah Ni kweli jombaa...mazoea yana tabu kweli.