Mbunifu wa Nembo ya Taifa anaishi maisha duni sana

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
11,471
12,373
Husika na kichwa cha habari hapo juu,Mzee Francis Ngosha ndie mchoraji na mbunifu wa nembo ya taifa hivi sasa anaishi maisha ya kichokoraa huko Buguruni jijini Dar es salaam. Kibanda anachoishi ni cha hovyo sana ni kama banda la kuku limezungushwa na Bati juu mpaka chini.

Serikali msaidieni huyu mzee ni muhimu sana kwa historia ya taifa letu haipendezi kuwatelekeza na ukizingatia hivi sasa afya yake si nzuri na uzee kwa kweli anahitaji msaada.

img_6907-jpg.513421

Chanzo: Itv habari.
 
Mchoraji wa Nembo ya Taifa maarufu kama Adam na Hawa, Mzee Francis Maige Ngosha anaishi maisha duni yasiyoendana na mchango wake aliotoa kwa taifa kabla na baada ya kupata uhuru ambapo anaishi kwa kuomba msaada wa kujikimu.

IMG_6907.JPG

Mzee huyu anaishi Buguruni kama sikusika vibaya.

Chanzo: ITV

Hongereni sana ITV maana hii ndio moja ya kazi za vyombo vya habari.
 
Weka picha tuone alieterekezwa basi.Kwa hiyo alitakiwa awe analipwa mshahara kila mwezi au?
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu,Mzee Francis Ngosha ndie mchoraji na mbunifu wa nembo ya taifa hivi sasa anaishi maisha ya kichokoraa huko buguruni jijini dar es salaam.kibanda anachoishi ni cha hovyo sana ni kama banda la kuku limezungushwa na Bati juu mpaka chini.

serikali msaidieni huyu mzee ni muhimu sana kwa historia ya taifa letu haipendezi kuwatelekeza.na ukizingatia hivi sasa afya yake si nzuri plus uzee kwa kweli anahitaji msaada.

source: Itv habari.

Kila kitu serikali
 
Tatizo serikal yetu vitu vya msingi huvipa kisogo. Sijui huwa wanafikiria nn?
 
The deal was done and he was paid!!(sijui kama alilipwa maana zamani watu walijitolea zaidi)

May be tuwaulize watu wa makumbusho kama wana database ya watu muhimu kihistoria na mahali walipo!!

Pili serikali i-declassify baadhi ya taarifa na kuziweka hadharani,sio kila kitu siri,watafiti lazima wangejua ni nani alibuni na wangemchimba wakajua alipo na pengine angekuwa bora kuliko alivyo sasa!

Marekani wana utaratibu wa kuziachia nyaraka za siri kila baada ya miaka kadhaa,nasi tuige

Financial discipline
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu,Mzee Francis Ngosha ndie mchoraji na mbunifu wa nembo ya taifa hivi sasa anaishi maisha ya kichokoraa huko buguruni jijini dar es salaam.kibanda anachoishi ni cha hovyo sana ni kama banda la kuku limezungushwa na Bati juu mpaka chini.

serikali msaidieni huyu mzee ni muhimu sana kwa historia ya taifa letu haipendezi kuwatelekeza.na ukizingatia hivi sasa afya yake si nzuri plus uzee kwa kweli anahitaji msaada.

source: Itv habari.
c2525134f937de5b66bd1ff760488fb4.jpg
 
Back
Top Bottom