masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,647
- 14,646
Mbunge wa Ilala Musa Zungu ananishangaza.
Utafikiri katumwa bungeni na wamachinga, na kwa maslahi ya wamachinga.
Mimi nikitegemea kama mkazi wa Jiji la Dar es salaam, angekewa na mawazo endelevu kwa kuliboresha Jiji, ili liwe sawa na miji mingi aliyotembelea duniani.
Kwa siku kadhaa sasa kajipachika kuwa msemaji wa wamachinga, suala amnayo kimsingi ni kutetea tu maslahi ambayo naona no binafsi.
Maslahi binafsi yanakuja pale tunapoona 2015 inazidi kusogea.
Machinga kama msingi wa ajira kwa vijana si endelevu na mbaya zaidi ktetea machinga ni kutetea ukwepaji wa kodi ya mauzo.
Sasa mtu mzima kutetea mfumo ambao kimsingi ni ukiukwaji wa taratibu endelevu za kuendesha jiji, mimi inanitia wasiwasi.Kuna Machinga Co,pex pale Ilala, Zungu kimya!!!
Inabidi Zungu aambiwe kuwa kama hana cha kuonyesha kwa miaka yake mitano bungeni ajihukumu mwenyewe, ama sivyo kelele za kutetea umachinga kwa hakika zinakera.