Mbunge wetu Lema fuatilia hili...

Mbunge wetu Lema fuatilia hili...

kipindupindu

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
1,054
Reaction score
170
Leo nimesikia kwenye kipindi cha tuongee magazeti kuwa kuna wanafunzi 216 waliopata mimba arusha.
Nadhani ni muhimu kwa mbunge G.lema kufuatilia suala hili na sio kujihusisha na harakati za CDM kitaifa pekee.angalia sana usije ukalisahau jimbo lako!!
Ni maoni yangu tu unaweza kuyafanyia kazi au ukapuuzia
 
we kipindupindu,ni nani aliyekwambia kuwa lema hayajui matatizo yaliyoko kny jimbo lake?
 
we kipindupindu,ni nani aliyekwambia kuwa lema hayajui matatizo yaliyoko kny jimbo lake?

wapi nimesema hayajui?nakumbusha umuhimu wa kufuatilia maswala ya jimboni mwake.
 
Usisahau kukikumbusha chama chako Ccm kutekeleza ahadi zake zote ...natania tu mjomba
 
wanafunzi wa kike kupata mimba ni kiherehere chao!
 
Leo nimesikia kwenye kipindi cha tuongee magazeti kuwa kuna wanafunzi 216 waliopata mimba arusha.
Nadhani ni muhimu kwa mbunge G.lema kufuatilia suala hili na sio kujihusisha na harakati za CDM kitaifa pekee.angalia sana usije ukalisahau jimbo lako!!
Ni maoni yangu tu unaweza kuyafanyia kazi au ukapuuzia
Afuatilie nini sasa wakati baiolojia zilipata mihemuko zikakutanishwa kwa hiari yao. nafikiri kuna mambo mengine zaidi ya hili ya kufuatilia mkuu, sor kipindupindu
 
Back
Top Bottom