mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 256
Baada ya kupita maeneo mbali mbali ya nchi yangu ya Tanzania nimegundua nchi yangu ni nzuri sana yenye rasilimali nyingi ila haina wawakilishi bora mfano mzuri baada ya kuzunguka nimegundua kuwa kuna watu ama hawajui hata mbunge wao alipo..ama wengine wanalia kabisa wanasema Mbunge wetu yupo Dar tu! Hatumuoni jimboni tunamsikia Dar na Dodoma tu, sasa je ni mbunge wa dar au wa jimbo letu? Mfano wa jimbo ambalo nilipita nikasikia vilio ni Shinyanga!... Inasikitisha sana.
Mimi kwa upande wangu nimewasikitikia ndugu zangu hawa kwa kufanya uamuzi mbaya....waige Jimbo Langu. Mbunge wangu ni Jembe tupo naye bega kwa bega anafuatilia mambo mengi hata pamoja na mizengwe kadhaa wa kadhaa anayokutana nayo katika utendaji wake.
ANAITWA HALIMA MDEE...BIG UP MAMA...huyu ni Mbunge wangu wa KAWE. Vipi wewe kuhusu Mbunge wako???