Mbunge wako ametimiza wajibu wake?

Mbunge wako ametimiza wajibu wake?

Halima Mdee 'ziro' jimbo la Kawe...najuta kwa nini sikumpigia kura Mbatia 2010! Mvua imemuumbua kwa miaka yote mi5 jimboni, na anaondoka bila suluhisho la maana mafuriko ya makazi na uharibifu wa mara kwa mara wa miundo mbinu kutokana na mvua. I rate her 0.00001%, na ni mwanaChadema damu.
 
Mimi Mbunge wangu ni Halima Mdee, naona yeye hana mpango wa kugombea mara ya pili, toka ameingia sidhani kama hii Halmashauri imefanya lolote lile

Nakubaliana nawe 101%...
 
Wewe waishi wapi labda? Maeneo niishiyo toka amekuwa mbunge sijaona chochote kimefanywa na halimashauri ya kinondoni ambayo yeye ni mhusika humo ndani.
Kuanzia mikocheni B hadi target barabara ni ile ile

Nakaa mivumoni,mkuu tunatatizo kubwa sana la madiwani wetu. Kwetu kapigania mradi wa maji cha ajabu diwani anapita kurubuni watu kuwa tusimsikilize mdee,tumlimshangaa sana na diwani huyo ni mwenyekiti wa kamati ya miundombinu na ujenzi wilaya.
 
Nadhani watu tunachanganya kati ya kazi ya mbunge na serikali; serikali ndio yenye pesa, mbunge ni mwakilishi wa wananchi kazi yake ni kuisimamia serikali kwa kusema nini wananchi wake wanataka au kusema pale serikali inapokosea nk.
 
hivi mbunge ndo anafund za maendeleo kwenye jimbo???
Au mbunge ni muwasilishaji wa mahitaji ya wananchi kwa serikali???
Kuna haja ya kuelewa kitu hapa kwanza kabla ya kufikia maamuzi
 
Tukubali kazi ya mbunge ni:
1.kuwakilisha wananchi wa majimbo yao!
2.Kutunga sheria
3.Kuisimamia Serikali.!
Sasa suala namba 3 imekuwa zengewe!!!
 
Back
Top Bottom