Mbunge wa zamani CCM katika majimbo ya Mpwapwa na Kongwa Gideon Senyagwa amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha CDM.Mbunge huyo alipewa kadi Na. AO CDM 0101716.
Mbunge huyo wa zamani alihamia CDM Novemba 9 pamoja na makada wengine wa CCM wakiwemo Mkiti wa Tawi la Ngh'umbi Boazi Madukani na Katibu wa Tawi hilo Mbagilwa Festo.Pia CDM imezoa wanachama 260 katika jimbo hilo kama ishara ya kuunga mkono uamuzi wa mbunge huyo wa zamani.
Akihutubia maelfu ya watu katika mkutano uliofanyika Kibaigwa Senyagwa alisema kuwa hafurahishwi na vitendo vinavyofanywa na CCM ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa mmomonyoko wa maadili kutoka kwa baadhi ya viongozi huku wakipuuza kero za wananchi.
Aliwataka wananchi kote nchini kuunganisha nguvu na CDM kuiondoa CCM madarakani.Amesema CCM inapaswa kujua mwisho wake umekaribia kama hata mtu kama yeye ameamua kukiacha chama hicho.
Source: Tanzania Daima.
kumbe unajua akija CDM jina linafufuka...kumbe waliopo CCM majina yamekufa, so karibu na wewe jina lifufuke..Angeacha ubunge wake wa CCM akajiunga na CDM ningemuona shujaa kweli kweli lakini ameona jina limeshasahaulika amechuja ndio anakimbilia huko kufufua jina lake.
mmmmm, misukulekumbe unajua akija CDM jina linafufuka...kumbe waliopo CCM majina yamekufa, so karibu na wewe jina lifufuke..
Aliwahi kuwa mbunge au aliwahi kugombea ubunge?Mbunge wa zamani CCM katika majimbo ya Mpwapwa na Kongwa Gideon Senyagwa amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha CHADEMA.Mbunge huyo alipewa kadi Na. AO CDM 0101716.
Mbunge huyo wa zamani alihamia CDM Novemba 9 pamoja na makada wengine wa CCM wakiwemo Mkiti wa Tawi la Ngh'umbi Boazi Madukani na Katibu wa Tawi hilo Mbagilwa Festo.Pia CHADEMA imezoa wanachama 260 katika jimbo hilo kama ishara ya kuunga mkono uamuzi wa mbunge huyo wa zamani.
Akihutubia maelfu ya watu katika mkutano uliofanyika Kibaigwa Senyagwa alisema kuwa hafurahishwi na vitendo vinavyofanywa na CCM ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa mmomonyoko wa maadili kutoka kwa baadhi ya viongozi huku wakipuuza kero za wananchi.
Aliwataka wananchi kote nchini kuunganisha nguvu na CHADEMA kuiondoa CCM madarakani.Amesema CCM inapaswa kujua mwisho wake umekaribia kama hata mtu kama yeye ameamua kukiacha chama hicho.
Source: Tanzania Daima.
Akiwa CCM ni fisadi, akienda kwingine ni mpiganaji, kama miwani vilekaribu chama cha wapiganaji, safi sana kwa kuvua gamba na kupiga Gwanda.... well done kamanda tutakupa hilo jimbo...:A S 41:
Si afadhali maandazi yanaliwa mkuu, kagazeti za kwendea msalani.
hata la SLAA wakipenda.Huyo mwache tu akavae magwanda,mpeni hata magwanda 10
Chadema mekuwa desperate sana mimi nilijua chama chenu mnataka kujenga na damu changa na watu wenye mawazo mapya kumbe ni recycle bin!
Angeacha ubunge wake wa CCM akajiunga na CDM ningemuona shujaa kweli kweli lakini ameona jina limeshasahaulika amechuja ndio anakimbilia huko kufufua jina lake.
CHAMA cha siasa lazima kifanye siasa, unafikiri tunawaita CCM, mbona hawaendi PPT Maendeleo au SAU, hizi ni dalili za CHAMA kukua cha muhimu ni CHADEMA kujipanga na kuwa makini, lazima utumie kila fursa kumdhoofisha adui yako, propaganda za kusema eti hao wanaokuja ni makapi ni uongo kwani wanaokuja wana ushawishi kwenye maeneo yao na wanauwezo wa kushawishi wengine kukiasi chama cha mapinduzi, chama kinapokua kina tabia ya kuvuta wanachama wa vyama vingine kujiunga nacho, na lazima ujue asilimia kubwa ya watanzania siyo wanavyama wa vyama vya siasa, so walioko active ndo hao wanahama na kujiunga na vyama vinavyowavutia kwa misimamo yao! Lakini CHADEMA siyo wajinga kiasi kwamba hao wanajiunga watapewa uongozi ndani ya chama na kuwaacha wanachadema wenyewe! Kiamini chama chako. CHADEMA ilishasema kila mtu anayehama kutoka CCM lazima tujiridhishe na uadilifu wake hatukurupuki, hawezi kuja mtu na kashfa zake tukampokea!Chadema mekuwa desperate sana mimi nilijua chama chenu mnataka kujenga na damu changa na watu wenye mawazo mapya kumbe ni recycle bin!
CDM hata CCM kikifa na wanachama wake wote wakahamia CDM, bado watasema wamejivua gamba na kuvaa Gwanda, tutumie msemo gani hapa jamani?Mbunge wa zamani CCM katika majimbo ya Mpwapwa na Kongwa Gideon Senyagwa amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha CHADEMA.Mbunge huyo alipewa kadi Na. AO CDM 0101716.
Mbunge huyo wa zamani alihamia CDM Novemba 9 pamoja na makada wengine wa CCM wakiwemo Mkiti wa Tawi la Ngh'umbi Boazi Madukani na Katibu wa Tawi hilo Mbagilwa Festo.Pia CHADEMA imezoa wanachama 260 katika jimbo hilo kama ishara ya kuunga mkono uamuzi wa mbunge huyo wa zamani.
Akihutubia maelfu ya watu katika mkutano uliofanyika Kibaigwa Senyagwa alisema kuwa hafurahishwi na vitendo vinavyofanywa na CCM ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa mmomonyoko wa maadili kutoka kwa baadhi ya viongozi huku wakipuuza kero za wananchi.
Aliwataka wananchi kote nchini kuunganisha nguvu na CHADEMA kuiondoa CCM madarakani.Amesema CCM inapaswa kujua mwisho wake umekaribia kama hata mtu kama yeye ameamua kukiacha chama hicho.
Source: Tanzania Daima.
Lakini mbona juzi alihudhuria mkutano mkuu wa Kizota! au na yeye aliiwakilisha Chadema? Hongera Cdm kwa kupokea makombo ya CCM! huyu mbunge uliemtaja wala hana umaarufu wowote! Jee, sumae nae ameshapewa Kadi?