Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Nimekuelewa kamanda,ombi moja kimbunga cha M4C Ukonga vipi hakiwapitii magamba,hebu nahuku kazi ianze mapema.
Wazo la msingi sana hili. Nafikiri Mwita Maranya ataweza kuunganisha nguvu na uongozi wa CDM Ukonga ili mikakati ianze.
Majohe alikususa, huwa hafanyi hata mikutano huko. Anadai wakazi wa majohe hawakumchagua kwa hiyo na yeye anawakomoa kwa kutokuwajali. Lakini kichekesho ni kwamba hao anaowajali kawafanyia nini? Maana sioni tofauti kati ya wanamajohe na huko kwingine.Kweli wajinga ndo waliwao! Sijawahi ona mbunge kama wa ukonga kwa miaka 5 hivi! Hata Makongoro alikuwa hivyo hivyo! Huwezi amini wenzao wanavyopiga kelekele juu ya majimbo yao ya Dar, huyu mama utadhani hayupo! Lakini hii ndo zawadi ya ujinga wetu wanaukonga!!!! Mvua zikinyesha barabara za Majohe hazipitiki! Watoto hawaendi shule tena. Angalia wenzake akina Halima Mdee---pongezi zako halima, angalia John Mnyika, angalia Idd Azan, wapo bungeni kikazi, siyo ushenzi wa huyu Eugine! Hiyo ndo dawa ya wajinga, mnahongwa t-shirt za kijani mnampa mtu kura, tuendelee kusikilizia maumivu hadi 2015. Tuchome tu sindano za ganzi. UPUUUUUUUUUUUUUZIIIIIIIIII MTUPU....RIP Eugine for 2015, you'll get nothing, don't even think of contesting again, we'll give you a shiiiiiiiiiiiiiiiiit. 😛ainkiller:😛ainkiller:
Wakuu nikiwa mkazi wa kipunguni, ni mtumiaji wa barabara ya Mombasa - Moshi Bar. Miundombinu yake utadhani hakuna binadamu wanaoishi huko. Ni ya ovyo kabisa. Hata kama siyo kazi ya mbunge kujenga/kuboresha miundombinu angalau basi tungeona hata juhudi za uhamashishaji kwa sisi wananchi. Mbunge wetu haonekani kabisa. Hivi anakaa ukonga kweli????.Isije kuwa anaishi masaki na ukonga anapita tu wakati wa kampeni. Barabara ya umbali wa km 3 tu unaendesha gari kwa nusu saa!!!!!!!
Tumpe Mwita Maranya, kama hatakuwa tayari; basi mimi nitagombea kwa tiketi ya CHADEMA.
Kungekuwa na hiyo provision kikatiba ama kisheria, basi ninauhakika kuwa hadi wakati huu mama mwaiposa asingekuwa mbunge wa Ukonga. Na kwakuwa wanatambua kuwa wananchi hawana nguvu ya kisheria ya kuwawajibisha ndio maana wakishapata ubunge wanapotea. Kuna tetesi kuwa mbunge wetu amekwisha hama toka Ukonga, anakula upepo mwanana pande za Mbezi beach.
mwita waitara ameishajipanga kuja kulikomboa jimbo hili huyu ataondoka tuwana jimbo wenzangu wa jimbo la ukonga, mbunge wetu yupo likizo? Wana nchi tunakero nyingi sana, hatukuoni jimboni wala mjengoni?
Wana Jimbo wenzangu wa Jimbo la Ukonga, mbunge wetu Yupo likizo? Wana nchi tunakero nyingi sana, hatukuoni jimboni wala mjengoni?