Vipi umeanza kampeni? Mbona mapema sana?Kama mkaazi wa Kivule/Kitunda, inaumiza sana kuona tuna mbunge ambaye haona aibu jimbo lake kuwa na barabara mbovu kuliko zote Dar esalaam.
Barabara ya kutoka Ukonga Banana kupitia Kitunda, Kivule hadi Msongola ni kama haipitiki, imejaa mahandaki, madimbwi ya maji kiasi kwamba kutoka Banana kufika Kivule fremu 10 unaweza kutunia saa nzima au zaidi!!
Ulisema kwa kuwa ulikuwa upinzani ndio maana hukuwa unatengewa bajeti za maendeleo, sasa umerudi chama tawala, mbona barabara hii haijengwi?
Jisikie aibu hata kidogo, kama huwezi kushawishi tukajengewa hii barabara then 2020 go back to Rorya, this is Dar es Salaam in 2019, we don't deserve to have roads like this one!
Mm nadhani miradi mingi ya barabara kwa sasa daresalam imesimama sijui wanangoja campaign 2020! kutoka wazo hadi kwa kawawa madale lipoishia lami ya kutoka njianne goba ni balaa,unaweza dhani unaenda NanjilinjiSio huko tu, ukweli kata yote ya ukonga haina barabara, nimezunguka huko kivule, nimepita mpaka majohe kunaitwa bwela, dah unaweza kufanya mradi wa kufuga samaki kwenye hizo barabara.
Ndugu yangu usilolijua ni sawa na usiku wa giza leo Nimeenda kukagua shamba langu kama kilometa 1.5 kutoka fremu kumi karibia na shule ya dady nimejuta yan nimehurumia gari yangu. Huwezi amini kuna madimbwi unaingia boneti inafunikwa. Yani nadhani hii sio bure. Ndio maana waitara amehama kwake kitunda shule na kuhamia gongolamboto baada ya madai ya kulamba 200m kama zawadi ya kuunga juhudi mkonoVipi umeanza kampeni? Mbona mapema sana?