Mbunge wa Uingereza ahoji alipo Netanyahu

Mbunge wa Uingereza ahoji alipo Netanyahu

Inasikitisha sana jinsi watu wanavyopenda na kuziamini fake news hasa zile zenye hisia au tetesi wanazotamani ziwe za kweli
Wakati wa vita moja ya silaha muhimu sana ni Propaganda,
Israel
wanakila sababu ya kuprove wrong hizo rumors unless iwe na wao wanafaidika kutokana na hiyo taarifa.
šŸ™
 
Nimecheka sana

Ety
Breaking news: Benjamin Netanyahu live from hell šŸ˜‚
 
For the first time in the history of the Israeli regime, Netanyahu is not present at the military meeting...

The Israeli government has convened an emergency meeting of senior officials.

Absent from the meeting are:

Benjamin Netanyahu.

Air Force Commander Tomer Bar.

Mossad Chief David Barnea.

Minister of National Security Ben Gvir.

Iddo Netanyahu.

Iddo Netanyahu is the brother of Prime Minister Netanyahu. Ben Gvir is the main spokesperson of Israel, effectively the voice of the government.

Note: The mentioned individuals have not appeared publicly for a long time, so there is speculation about murder... Scott Ritter claimed that Ben Gvir was seriously wounded, and Iddo killed. In recent days, speeches created with the help of artificial intelligence have been released instead of Netanyahu's.
 
hicho ndicho ambacho watu wa islamic republic of iran kama tanzagiza hawana, freedom of expression, fikiria tu for a second huyo ni mbunge na anaweza kuhoji bila ya hofu yoyote, sasa mbunge wa islamic republic kwa mfano anaweza kuhoji alipo labda raisi tanzagiza au ayatola na kasalimika? rejea Lipumba0 alitoa tu maoni yake tena kama mpinzani kesho yake kafukuzwa kwenye chama chake na msajili wa vyama wa islamic republic kwa kuhoji tena kama mpinzani, unajiuliza kazi ya mpinzani ni ipi sasa kama wote ni lazima wamsifie tu raisi aliyepo?.

wairani kama watanzagiza wanastahili kukombolewa ...
Hata USA waliomhusisha Trump na epstein files wametumbuliwa. Same to waliomkoso Charlie kirk wamefukuzwa kazi zaidi ya watumishi 2000.
Israel ndio kabisa uki ripoti habari za vita unachukuliwa hatua.

Freedom of speech ni tatizo dunia nzima contrary na unachoandika hapa yaani perception selectivity
 
Wakati wa vita moja ya silaha muhimu sana ni Propaganda,
Israel
wanakila sababu ya kuprove wrong hizo rumors unless iwe na wao wanafaidika kutokana na hiyo taarifa.
šŸ™
Propaganda za vita ni kitu kinachoeleweka, na propaganda hufanywa na vitengo maalum vya serikali au jeshi. Lakini tunachoshudia hapa ni uongo unaozushwa au kutengenezwa na washabiki.

Picha za AI zikitengenezwa na vitengo maalum, si rahisi ugundue kuwa ni za uongo. Hizi zinazoletwa hapa, unazigundua hata ukiwa umekunywa konyagi.
 
Netanyahu yuko wapi? Galloway ashangazwa na video yake ya Akili Mnemba

Mar 14, 2026 08:05 UTC

[https://media]

Kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi Uingereza, George Galloway amesema video ya hotuba ya Benjamin Netanyahu iliyotengezwa kwa kutumia Akili Mnemba (AI) inaibua masuali mengi kuhusu kitendawili cha aliko Waziri Mkuu huyo wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

Galloway amesema video hiyo ya AI iliyogubikwa na kasoro nyingi ikiwemo Netanyahu akiwa na vidole sita imeibua masuali mengi bila majibu, baada ya kutoonekana kwa muda mrefu nduli huyo wa vita wa Israel.

Katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa kijamii wa X kuhusu video hiyo bandia ya Netanyahu, Galloway ambaye amewahi kuwa Mbunge katika Bunge la Uingereza ameandika: Je hili limefanyika kweli? Kwa nini Israel ilisambaza hotuba ya Akili Mnemba ya Netanyahu usiku uliopita, ambapo Waziri Mkuu huyo ameonekana dhahiri akiwa na vidole sita? Yuko wapi (Netanyahu)? Yuko wapi Ben Gvir?

Galloway ameshangazwa pia na hatua ya vyombo vya habari vya Magharibi ya kufumbia macho video hiyo bandia ya Netanyahu na kutouliza masuali mazito kuhusu aliko mtawala huyo wa Israel.

Netanyahu hajaonekana hadharani wala kusambaza hotuba zake za video kwa siku kadhaa sasa, tangu vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viliposhadidisha mashambulizi ya kulipiza ya kisasi ya Ahadi ya Kweli ya 4.

Siku chache zilizopita, uvumi ulienea kwenye mitandao ya kijamii kwamba yumkini Netanyahu na maafisa kadhaa wa serikali yake wameangamizwa au kujeruhiwa vibaya katika hujuma za makombora ya Iran.

Hivi karibuni, tovuti ya Middle East Minitor iliandika makala ya uchambuzi kuhusu mashambulizi ya kichokozi ya Marekani na utawala wa Kiziayuni wa Israel ikisema kuwa vita hivi ambavyo Benjamin Netanyahu amejiandaa kwa ajili yake kwa miaka mingi yumkini vikapelekea kutengwa kisiasa na kuporomoka stratejia yake.

Kingine kinachobua masuali kuhusu uzima wa Netanyahu ni kufutwa ghafla safari ya Jared Kushner (mkwe wa Rais wa Marekani) na Steve Witkoff, Mjumbe Maalumu wa Donald Trump katika eneo la Asia Magharibi, ambao walitazamiwa kwenda Israel na kukutana na Netanyahu

View attachment 3558047View attachment 3558048View attachment 3558049View attachment 3558050
Hatuko naye tayali
 
Back
Top Bottom