Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea ataka CHADEMA ifutiwe usajili

Wakuu habari za Leo?

Mheshimiwa Abdaallah Mtolea mbunge wa jimbo la Temeke ametoa pendekezo lake bungeni kuwa haoni sababu ya Chadema kuendelea kuwa chama cha siasa nchini,amemtaka msajili wa vyama vya siasa kukifuta chama hicho Mara moja

Amedai kuwa chadema ni chama kinacho penda Fujo na vurugu hivyo haoni thamani ya chama hicho nchini

My take : chadema wajihadhari tofauti na hapo tutaongea mengine baada ya uhakiki wa vyama vya siasa kumalizika

Have a good day.

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE amalizie miaka yake mitano akalee wajukuu
 
Kuifuta cdm ndio njia pekee ya kuinusuru ccm kwa muda mfupi, lakini kifo cha ccm kipo palepale. Ccm ni cha cha kizazi kilichopita, hata ifanye nini sio rahisi tena kuvutia watu wa kizazi hiki. Hivyo ccm itaendelea kutumia nguvu kwa muda fulani, lakini kwa uzee wake, kifo chake ni dhahiri.
Kiuhalisia ilishakufa. Kinachofanyika ni kufanya maiti itembee (to make the corpse walk).
 
Wakuu habari za Leo?

Mheshimiwa Abdaallah Mtolea mbunge wa jimbo la Temeke ametoa pendekezo lake bungeni kuwa haoni sababu ya Chadema kuendelea kuwa chama cha siasa nchini,amemtaka msajili wa vyama vya siasa kukifuta chama hicho Mara moja

Amedai kuwa chadema ni chama kinacho penda Fujo na vurugu hivyo haoni thamani ya chama hicho nchini

My take : chadema wajihadhari tofauti na hapo tutaongea mengine baada ya uhakiki wa vyama vya siasa kumalizika

Have a good day.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtanisamehe naona Bora bunge lingefutwa Mana hakuna sababu ya kuwa na wabunge wanashindwa kuleta hoja muhumi kwa maendeleo ya nchi Ila wanaleta hoja za kujiweka wenyewe mahara pazuri
 
Hili ndo la muhimu,huoni kuwa chadema inahatarisha usalama wa nchi kwa kuhimiza vurugu na mapigano kwa raia

Akili zangu ziko timamu na Nina mzio na chadema ndo maana tunaplani kuifutilia mbali ,na siwezi kuhamasishwa na chama kinachopenda vurugu ili kivuruga amani ya nchi yangu mkui
Tuachane na Kifo Cha Akwilina Mana mahakama iliyotoa maamuzi,,,hapa wewe Kama wewe umewah kupigana au kuleta vurugu kwa kuamasishwa na chadema.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hili zoba lililonunuliwa nimelisikizaa.....
Nikajisemea "ndo hivi maccm tunachangia hotuba ya waziri mkubwa😂😂"
Yaani dakika 05 ni kwa ajili ya kumpongeza JPM na 05 nyingine kuwaongelea CHADEMA🤔🤔🤔.....ndo kamaliza.....
Yaani hawa jamaa sijui wanamwakilisha nani!!!! Hopeless!
 
Hili ndo la muhimu,huoni kuwa chadema inahatarisha usalama wa nchi kwa kuhimiza vurugu na mapigano kwa raia

Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kwamba wanahimiza mapigano, wamechoka kuporwa kura zao, na ccm wameshaona kabisa watu hawaitaki hivyo inajua kitendo cha cdm kuendelea kuwepo kitaamsha hasira za watu na kuiweka ccm kwenye wakati mgumu. Hivyo namna pekee ni kutumia nguvu yake ya dola iliyo nayo sasa kuifuta cdm. Lakini napenda ufahamu, kwa sasa ccm ni chama kilicho nje ya mahitaji ya wakati, hata ifanye nini sio rahisi tena kuwavutia wananchi. Hiyo cdm hata kama haijafanya kitu, watu hasa kizazi cha sasa kitaipenda cdm, kwani kizazi kilichoipenda ccm muda wake umeshapita.

Hivyo ni vyema uwashauri ccm kuwa tatizo lao kwa sasa sio kuwa hawajafanya kitu, bali wakati ukuta. Hakuna namna kitaendelea kubaki madarakani tena kwa ridhaa ya wananchi walio wengi, sana sana itaishia kumwaga damu za vijana, na huko tuendako itaingiza nchi hii kwenye vikwazo vya kiuchumi kwa kitendo chake cha kung'ang'ania madaraka. Hiyo ccm naifananisha na mwanamme au mwanaume mzee anayelazimisha kupendwa huku akijipamba na kuhonga sana ili apendwe. Lakini kimsingi atakuwa hapendwi na vijana zaidi ya kuliwa hela zake.
 
Wakuu habari za Leo?

Mheshimiwa Abdaallah Mtolea mbunge wa jimbo la Temeke ametoa pendekezo lake bungeni kuwa haoni sababu ya Chadema kuendelea kuwa chama cha siasa nchini,amemtaka msajili wa vyama vya siasa kukifuta chama hicho Mara moja

Amedai kuwa chadema ni chama kinacho penda Fujo na vurugu hivyo haoni thamani ya chama hicho nchini

My take : chadema wajihadhari tofauti na hapo tutaongea mengine baada ya uhakiki wa vyama vya siasa kumalizika

Have a good day.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika
 
Kumbe wewe zwazwa kweli huoni unajipinga mwenyewe? Huyo mbwiga mwenzako si ndiye amesema kuwa msajili aifute! Mkisha vimbiwa viporo vya makombo akili zinakuwa kama mumevuta bangi vile. Nchi nzima watu wanaumiza vichwa namna ya kukabiliana na Corona nyie mnajikita kuifuta Chadema ili mupite kiulani October. Hamna akili hata zaidi ya za kwendea chooni Tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitafutwa tu. Mark my words!
 
Wenzenu katika serikali za mataifa mengine kipaumbele ni kupambana na corona,nyie kipaumbele chenu ni kupambana na CHADEMA!!!
Hakuna mapambano yoyote wanayoyaweza hao,so Corona wala CDM.Wananchi wanaelewa ukweli.
CCM inapitia wakati mgumu sana kubadili ukweli kuwa uwongo na uwongo kuwa ukweli. Na hilo siyo jambo jepesi hasa kwa dunia hii ya utandawazi na teknolojia.
 
Back
Top Bottom