Mbunge wa Tarime na mgogoro wa Nyamongo

sikia anavyojikanyaga anashindwa kueleza kiuwazi anasema hajapigwa yeye walopigwa ni walinzi

amesema alienda na walinzi binafsi,inakuwaje mbunge anaenda jimboni mwake na walinzi binafsi??sielewi

anasema cdm hawakutengeneza mahusiano na wawekezaji na alikuwa hajui kama polisi walikuwa wanaruhusu raia kuingia mgodini

icon1.png
matusi redioni


leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi clouds fm, kibonde, kayanda na wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa atc, mjadala umeenda vizuri japo kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....clouds fm imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.

anasema serikali itunge sheria ya kuzuia wabunge kuingia majimbo yasiyo yao na wanatarime wamechukia wabunge wasio wazawa kwenda tarime kuzuia mazishi na hatishwi na mavuvuzela mwisho kasema atahakikisha amani inarejea tarime na yeye bado mbunge ngangari wa tarime

eti hando anasema kuwa huwezi kuwa mtu wa sumbawanga ukaweza kujadili mambo ya tarime. Takataka hilo. Ila tetesi ni kuwa jana anayejiita mbunge wa tarime akiwa na chambili wamempigia simu hando na kukutana naye baa na wamemwachia bahasha kaunta.

kumbe hajui anafanya nini bungeni?
Kwani sheria wanazo tunga ni za jimbo?
Clouds fm iko kinondoni,yeye pale sio mbunge,anafanya nini huku dar?
Mbweha mkubwa

quote_icon.png
originally posted by matola
icon1.png
matusi redioni
leo nilikuwa nasikiliza kipindi cha jahazi clouds fm, kibonde, kayanda na wasiwasi walikuwa wanajadili kuhusu kufa kwa atc, mjadala umeenda vizuri japo kibonde alikuwa anaonekana mwenye jazba sana.......kilichonishangaza ni pale alipojidai kuwa ana machungu sana na kufikia hatua ya kutoa tusi la nguoni (k****m***m**k**)nadhani watu wazima mmenielewa, hata wenzie aliokuwa nao niliwasikia wakicheka kichinichini kwa mshtuko walioupata na simu zikipigwa mfululizo,sasa linakuja swala la je....clouds fm imekuwa ya kihuni namna hii kiasi ambacho imeanza kutoa matusi ya nguoni?
nadhani kuna mliokuwa mnasikiliza pia,mtakubaliana na mimi. Kwa kweli ni fedheha.

hata mimi nilisikia halafu wakalipotezeakwa kurudia ........nenda kafanye kazi kwa mama yako......wakizuga kama ndokasema hivyo.

majibu kwa huyu mbunge wa kichina yako hapo juu
yeye kakimbia jimbo na wengine watungiwe sheria wasiendee
sasa hiyo sheria wanaipa jina gani au kundi gani hati miliki ya majimbo?
 
halafu kasema kuwa eti mbunge akienda ktk jimbo ambalo silo lake inabidi aombe ruhusa. Je yeye kapewa na nani ruhusa ya kwenda Kinondoni!
 
Sijaelewa bado jinsi alivyojiaibisha


Hujasikia hizo pumba alizokuwa anaongea? mbunge mwakilishi wa wananchi hatakiwi kuwa hivyo.
Arusha mbunge wetu hatumii Escort ya polisi bali ya wananchi wake. tunampenda kweli, hakuna mahali ataenda na kupigwa kama huyo mpuuzi, ni majuzi tu kapondwa na wananchi wake wakati hana hata mwaka wamesha mchoka.
 
Liliwahi kumpiga baba yake mzazi hili jamaa labda laana inalitafuna...watu wameuwawa eti linasema Tarime hali nzuri,,wakati gereza la Tarime limejaa watu kwa case za aina mbili tu Armed Robbery na Murder...kisa nn kama sio serikali hii kukomoa wakurya!!!
 
Anasema tatizola tarime ni Siasa. yeye mwenyewe ni mwanasiasa. Sasa sijui anaongea nini. Angekuwa RPC ningemuelewa.

So ashauri Serikali madaraka yote ya kisasa tarime yafutwe. Asiwepo mbunge, wala diwani. Then tuite Tarime wilaya ya kijeshi. teh teh teh teh

Sio anasema matatizo ya tarime ni siasa wakati yeye anakula mshahara kama mbunge.
 
dah huyu anatuaibisha walimu wenzake dah ya mwalimu anaongea pumba kama hz!ndo tatizo la walipu wa kulipua B.a bila kupata kwanza diploma! Pambav mno!akatunge vitabu tu sasa!
 
Hapo kweli umenena, Thomas, mimi namwita Thomas hayo ya Nyambari sijui Nyanguinini yake. Yule jamaa hajui kuongea na hajui la kuongea. Huwezi amini alipokuwa mwanafunzi pale UDSM alikuwa anaongozana na jamaa fulani wakali, wanamsaidia kila kitu, kuandika notes, kuwa nao katika Take Home Essay, Kufanya presentation, katika presentation yeye kazi yake ilikuwa kutafuta viti vya kukalia kule mbele, kuandika introduction ubaoni na kufuta ubao, wakali wake alikuwa akiwanunulia RnB (Rice and Beans) wanamfanyia kila kitu. Sijui kwa nini hayuko na wale wasaidizi wake labda wangemsaidia, yeye mwenyewe mwizi balaa. Halafu jamaa kwa kuchakachua vitabu vya watu, jamaa hatari, nahisi hata kule mgodini nae anatamani kwenda kuchoropoa mawe kadhaa. Polisi waanze kumkamata yeye na kesi zake lukuki kule Central polisi na COSOTA.
Haaaah haaah haaah big up mkuu umeona mbali yani inakuaje Nyambari peke yake anatunga vitabu vya masomo yote!au advance hakua na combination?yan jamaa ana copy na ku paste vitabu vya wenzake then anajiita mtunzi, pumba tu nowdays madent wanadharau vitabu vyake wanaviona vipo shallow vya mtunzi mganga njaa tu!
 
amesema alienda na walinzi binafsi,inakuwaje mbunge anaenda jimboni mwake na walinzi binafsi??sielewi
lazima aende na walinzi kwakuwa anajua atapigwa tu kwakuwa alichakakuchua ushindi wake hakuchagukiwa na wananchi :dance::dance::dance::dance:
 
Wadau ktk kipindi cha leo star tv,kulikuwa na mada inayosema 'Majaliwa
ya amani Tarime'

Pamoja na washiriki wengine waliokuwepo alikuwepo pia mbunge wa Tarime
Nyangwine na mzee Chambiri.Nyangwine ktk mchango wake alisema mgogoro huo umechangiwa pia na wanasiasa na ulianza kipindi cha uongozi wa mbunge wa upinzani alipokuwa mbunge.
Lakini alichoniacha hoi nipale aliposema mambo ya tarime wanyewe,kauli ambayo
inachochea hasira zaidi.

Je nisahihi tuwaache wanatarime wauane eti kwa sababu sisi si wakurya?
Nakama huo ndo msimamo wake nimsimamo pia wa chama dola ccm,ambao pia
si kosa kusema ndo msimamo wa serikali,na kama ndo hivyo kamishna Chagonja
alienda kufanya nini Tarime?

Lakini kama nihivyo pia polisi wakanda maalumu wanafanya nini huko,Masawe siyo mkurya na soja wake si waondoke?

Mh,huyu anaonekana kuishiwa pumzi mapema na anatoa visingizio,na mbaya zaidi anaanza kupanda ukabila.

Amedai Tarime ni jimbo wilaya ina mipaka ina mbunge na halmashauri
iachiwe mambo yake,na akasahau kuwa Tarime iko ndani ya TANZANIA
na kwamba sisi kwa watanzaia taizo la jirani ni lakwako pia.

Kama anamaanisha anachokisema basi awaondoe polilsi kwanza,lkn pia mawazo
haya hayafai kwa Tanzaia ambayo watu wake wana mshikamano.

Naomba kuwasilisha.
 
kibonde jamani fungus wameshafika kichwani mnategeme ataongea nini sasa?????? Tumsamehe burE ila tumpuuze tu anaganga njaaa jamani si mnajua radio yakugangia njaaaaa?
 
....moja ya kitu anachokisema ni kwamba asilimia kubwa ya wanaofanya na kusababaisha fujo kule sio wakazi wa Tarime...
 
Wana jf,
Huyu mbunge amenichefua, yaan yeye ni kunadi tarime kwenye media. Jana nimemuona Star Tv, tena yuko Clouds fm, na asubuh hii yuko TBC.

Sina uhakika kama kupga kwake domo kwake kunasaidia kwenye maredio na maTV...

Jaman, ananiudhi sana huyu!
 
Yeye anasema ni nani aliyesababisha kama sio utawala wa serikali yake.
 
Katika mahojiano yaliyofanyika kati ya mbunge wa Tarime na radio TBC Taifa katika kipindi cha mahojiano asubuhi, ni vichekesho na aibu.

Huyu mbunge ni kibonde kabisa.

Katika maelezo yake anahusisha mizozo ya koo za kikabila, maingiliano na watu wa nchi jirani pamoja na wageni kwa maana ya wabunge wa CDM, kwamba wamefanya mgodi shamba la bibi.

Na kwamba wameamua wao kama watu wa Tarime kutoruhusu kuingiliwa na wageni, ili waweze kumaliza mgogoro kati ya wamiliki wa mgodi na wananchi, hii ni utoto.

Huyu mbunge anaota.
 
Hivi huyu mbunge anatafuta kazi kwenye vyombo vya habari?, kila siku redioni na kwenye TV au ndio yuko kwenye interview. Halafu hata kujenga hoja hajui, huwa nikimsikiliza simuelewi anasimamia nini, anaonekana hata chanzo cha mgogoro wa Tarime hakijui, aliwashawishi vipi wananchi wa Tarime wakamchagua? au ndio mambo ya pilau na khanga
 
....moja ya kitu anachokisema ni kwamba asilimia kubwa ya wanaofanya na kusababaisha fujo kule sio wakazi wa Tarime...
'aona taratibu serikali imeanza kutugawa watanzania, Inamaana wanao ishi tarime wote ni wakurya..
 
Back
Top Bottom