we bwe.ge nini? Unadhani waliompigia kura huyo Mbunge ni wakurya tu? Pelekeni pumba zenu za ubaguzi kwenye vikao vyenu vya kuvuana magamba. Au hujui kila raia wa Tanzania yupo huru kuishi popote?
Kwani umeambiwa ukitengeneza meli ndo unakua msomi? Does it mean kila msomi duniani lazima atengeneze meli kuthibitisha usomi wake? hebu fikiri vizuri kabla hujachangia hoja yoyote hapa jamvini..
akili yako imebanwa kiasi kwamba huwezi kufikiri outside the box?? ukiambiwa, asiyesikia la mkuu huvunjika guu, ni lazima kwa asiyesikia kuvunjika guu kweli?? amsha akili yako, that is if you have any
ukabila na udini ni dili sana kwenu nyie chadema. you need that sh!t for your survival in the political arena..if not, usingetaja makabila, ungeyapotezea tu