Mbunge wa Tarime aongea pumba ITV, kumekucha

Mbunge wa Tarime aongea pumba ITV, kumekucha

Anasema ugomvi mkubwa wa watu wa Tarime ni ardhi na ugomvi wa juzi ulisababishwa na chama fulani ambacho kilidhani kina hati miliki ya Tarime.
<br />
<br />
Hope ni NYAMBARI NYANGWINE
 
Kwani umeambiwa ukitengeneza meli ndo unakua msomi? Does it mean kila msomi duniani lazima atengeneze meli kuthibitisha usomi wake? hebu fikiri vizuri kabla hujachangia hoja yoyote hapa jamvini..

akili yako imebanwa kiasi kwamba huwezi kufikiri outside the box?? ukiambiwa, asiyesikia la mkuu huvunjika guu, ni lazima kwa asiyesikia kuvunjika guu kweli?? amsha akili yako, that is if you have any
 
mkuu umeshindwa kuelewa pumba za huyo mbunge wako, tanzania ni moja, john mnyika ni msukuma lakini ni mbunge kwenye jimbo la wazaramo, umenipata hapo?

ukabila na udini ni dili sana kwenu nyie chadema. you need that sh!t for your survival in the political arena..if not, usingetaja makabila, ungeyapotezea tu
 
Gunz in the air jibu hoja sio kulopoka kama wapiga debe wa ubungo wanaJF tunabishana kwa hoja sio kwa matusi hatakusaidia jifunze kujenga hoja.

duh, kama wewe unaiwakilisha jf, basi hapa ushaitia doa, kenge wee
 
huyo nyangwine hajui kuwa aliyelinda maiti ni Mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania, na Tarime ni eneo la JMT?

mbunge wa jimbo la JMT?? kuna jimbo la JMT? anaiwakilisha JMT nzima? kiazi we, usipende kukalia akili zako
 
hili jamaa ni pumba tupu yaani akili imechanganyika na maji... ndo maana mi nilikuwa nalipigisha magoti assembly kule Mkwawa secondary...

inaonyesha ndio kwanza umeamka toka kwenye coma...unataka kurudi tena ? bw3ge wewe
 
Back
Top Bottom