TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
Mkishajifunza Kiingereza cha kukariri basi ndio mnakuwa hamkamatiki.Only hogwash or Imbecile can do so not a sane
Hawakamatiki ndo mana wanatekwa?Mkishajifunza Kiingereza cha kukariri basi ndio mnakuwa hamkamatiki.
Duh, wanatekwa na Kiingereza chao kibovu namna hii?Hawakamatiki ndo mana wanatekwa?
See post #2Only hogwash or Imbecile can do so not a sane
Huyu ni mbunge au ni waziri wa sheria?
Anaongea kama mbunge au mtumishi wa serikali?
Mimi sioni cha kushangilia mbunge anaposahau wajibu wake.