Mbunge wa Mufindi Kusini (CCM) apata ajali

nyalotsi,kwa jinsi ulivyojamba na kuharisha mbele za watu inabidi mi nikae kimya kujiepusha na ban.
 
Kigola nimemuona yupo na afya njema wakati anazungumza na waandishi wa habari. Bwana ametenda miujiza. Gari lipo chakari, yeye yupo fit!
 
angekuwa mchaga apo nyakageni angelia.watu wa kaskazini bana,tusipowaangalia watatuharibia nchi hivi hivi
 
Mungu ni mwaminifu, atamtendea anayopaswa kutendewa. Kwa mnaotegemea malaika ashuke kutoka mbinguni kuja kujenga barabara mmeumia. Kama tatizo ni ubovu wa barabara mbona mnaendelea kuichagua ccm ambayo imeshindwa kutatua kero ya usafiri Iringa kwa miaka zaidi ya 50? Kwa aliyetoa R.I.P. Naona bado kamtakia mema tu.
Mtu mwenye akili fupi, mdomo na moyo mchafu, kumtamka Mungu bila kutubu dhambi zake ni ubatili na unajisi.
Ni kama Shetani kumsifu Mungu.
I believe this stuipid fellow is in an act of self appeasement.
Its shallow,lacks depth and an act of wallowing in horse dirt while holding the Good Book,
 
kuna mtu apa anaomba mungu atende muujiza kwa maana kwamba afe mbunge,tahadhari tu ni kwamba mungu anaweza kumchukua yeyote iwe yeye mwenyewe,baba yake au mama yake.
 
Back
Top Bottom