mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
asante kwa taarifa. ni mbunge wa kuchaguliwa au kuteuliwa na rais.
Je ni ajali ya namna gani?? hebu endelea kutujulisha hapa.....Ajali mbaya ya Gari jioni ya leo akitokea Jimboni Kuelekea Dar katika vikao vya Kamati za Bunge,
Ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JF
Mola amponye haraka ili awahi mapambano Juni 2012
Ongo mnjagilaInguluvi ye inyalusungu ikutange!!
Ukiona jimbo jua kachaguliwaTunashukulu je niwakuchaguliwa?
Alisign karatasi ya Zitto huyo?. Kama alisign kama Feelkunjombe I wish him get well soon, kama hakusign basi e mwenyezi mungu mtendee haki huyo mja wako apate anachostahili utakavyopenda wewe.
Kama hakusaini waraka wa Zitto basi na iwe R.I.P ili M4C ikachukue jimbo hilo
Inguluvi ye inyalusungu ikutange!!