Mbunge wa Mufindi atoa vitanda hospitali ya Mafinga na kumaliza tatizo la vitanda

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573


Pichani Mbunge wa jimbo la Mafinga mji ni Cotato Chumi akimkabidhi msaada wa vitanda ,magodoro pamoja na vifaa mbalimbali kaimu mganga mkuu wa hospitali ya Mafinga Dk Abdul Msuya

Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatiliwa ugawaji wa vifaa hivyo wakati wa makabidhiano

Mbunge wa mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi vifaa hivyo kwa vitendo


Baadhi ya wadau na wanachama wa chama cha mapinduzi ccm walihudhulia tukio hiloTATIZO la upungufu wa vitanda katika wodi ya akina mama na watoto katika hospitali ya wilaya ya Mufindi mkoani Iringa ambalo kwa muda mrefu limekuwa chanzo cha msongamano na uwalazimu baadhi ya wagonjwa kulala sakafuni sasa limepatiwa ufumbuzi baada ya uongozi wa hospitali hiyo kupokea msaada wa vitanda na vifaa tiba kutoka kwa mdau wa maendeleo katika sekta ya afya.


Mbunge wa Mafinga Mjini (CCM) Cosato Chumi alisema kuwa kwa muda mrefu hospitali hiyo ilikuwa ina upungufu wa vifaa mbalimbali ikiwemo vitanda hali iliyofanya kuandika maandiko mbalimbali kwa wahisani wa nje ya nchi ili kuweza kumsaidia kupata vifaa hivyo .

Alisema kuwa umefika wakati sasa wadau mbalimbali, mifuko ya kijamii na makampuni kujenga utamaduni wa kusaidia watu wenye mahitaji mbalimbali wakiwemo watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu na wagonjwa hospitalini kwani kufanya hivyo ni sehemu ya kurudisha kile wanachokitapa kwa jamii.?Unajua afya ni kila kitu katika maisha ya binadamu hivyo lazima nitekeleze ahadi zangu nilizotoa wakati wa kampeni na wanachi lazima tufanye kazi kwa kujituma ili tumuunge mkono rais wetu ambaye anania ya ya kutuletea maendeleo na kuwataka wadau mbalimbali kusaidia jamii zenye mahitaji na kuacha kutegemea serikali pekee ?alisema Chumi aliwaomba wananchi

wa jimbo hilo kuunga mkono kwa kufanya kazi kwa nguvu zote ili walete maendeleo kwa pamoja maana akifanya kazi pekee yake bila wao hawezi kuleta maendeleopekee yake.Msaada huo wa vitanda 16 na magodoro 11 na vitu mbalimbali umetolewa na taasisi binafsi inayojishughulisha na masuala ya
afya ya nchini Astralia ijulikanayo kama ?Rafiki Surgical Mission? kwauratibu wa ofisi ya mbunge wa jimbo la Mafinga mjiniAlisema kuwa msaada huo aliopatiwa na rafiki zao hawajatoa hata senti tano bali huwa marafiki hao wanachangishana fedha na kununua vifaa hivyo na kisha kuvisafirisha mpaka bandari kavu ambapo hapo ndio hutumia garama kusafirisha vifaa hivyo mpaka sehemu husika.
 
[h=2]
Mbunge wa Mufindi atoa vitanda hospitali ya Mafinga na kumaliza tatizo la vitanda
[/h]

wa jimbo hilo kuunga mkono kwa kufanya kazi kwa nguvu zote ili walete maendeleo kwa pamoja maana akifanya kazi pekee yake bila wao hawezi kuleta maendeleopekee yake.Msaada huo wa vitanda 16 na magodoro 11 na vitu mbalimbali umetolewa na taasisi binafsi inayojishughulisha na masuala ya
afya ya nchini Astralia ijulikanayo kama ?Rafiki Surgical Mission​

nampongeza kwa msaada huu...
lakini ni kweli kamaliza tatizo..ama ndio chachandu za uandishi....???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom