Mbunge wa Moshi vijijini aibia Wananchi Milioni (240)

Mbunge haweki kwenye account yake pesa za mfuko wa bunge yeye ni mratibu na muidhinishaji kwa miradi inayoombwa tu. Mfuko wa Bunge ni vote inayohifadhiwa na wakurugenzi wa miji, kwa hiyo kama kuna wizi hiyo ni njama za watu wengi.
 
Ukiacha hoja ya msingi pembeni, naomba nisahihishe udhaifu mkubwa wa kuandika kuhusu fedha hapa JF. Shilingi 2,880,000 na shilingi milioni 2,880,000 ni vitu viwili tofauti.

Tujitahidi tuongeze umakini.

sasa hapo umerekebisha nini?
 
yaani ni hivi 450,000*10=4,500,000*8=36,000,000 milioni thelathini na sita ya kufanya ziara ktk jimbo lake kwa miaka 8

Kiongozi bado unachanganya mambo!

Nimeweka rangi tofauti ili kuonesha ni wapi unakosea. Kama ulitaka kusema Milioni 36 basi unatakiwa uchague moja:
1. milioni 36 au
2. 36,000,000

Ukichanganya 1 & 2 (Yaani ukisema milioni 36,000,000) hapa unamaanisha 36,000,000,000,000.

The only way unaweza kuchanganya 1 & 2 ni kama utaandika 36 milioni (36,000,000).

Sijui shida ni nini maana naona kuna wadau hapa JF haoni hili kosa. Ungekuwa unafanya kazi wa bank ungeshaleta hasara kubwa sana. Kuwa macho.
 
Sawa mkuu nimekusoma.
 
Chami kwa kheri kazi imekushinda kumbuka moshi hatuna uhaba wa watu wa kutumikia jimbo. kapumzike kama mwenzako aliyekutangulia. maana sasa usifikiri kalami mshenzi hako ni credit ya maisha hapo kibosho, tunahitaji huduma za jamii zilizo boreka, hapa hakuna wakudanganyika na kitochi siku hizi. udaktari wako hautusaidii wewe mangi
 
Ni lazima ufike wakati mbunge awe anahudhuria vikao kwa kusaini daftari la jimbo ili tujue kua anasaport wananchi.
 
Mbunge haweki kwenye account yake pesa za mfuko wa bunge yeye ni mratibu na muidhinishaji kwa miradi inayoombwa tu. Mfuko wa Bunge ni vote inayohifadhiwa na wakurugenzi wa miji, kwa hiyo kama kuna wizi hiyo ni njama za watu wengi.

Kwa maana hio tunyamaze tu sababu ni njia za watu wengi kuibia umma??
 
Mkiniondoa kwenye uwaziri jimbo langu litakwenda CDM (Cyril Chami 2012)

halafu akamalizia na hii" Naomba mniombee kwa Mungu ili huko niendako nisiadhirike zaidi". Teh ...
 
Wabunge wengi hizi fedha za MFUKO WA JIMBO hawazitumii kwa malengo yaliyokusudiwa. Kaka Zitto kamati yako isiishie kwenye ukaguzi wa ruzuku kwa vyama vya siasa tu, ifike mpaka huku kwenye MFUKO WA JIMBO, nazo hizi si fedha za walipakodi?

sidhani PAC itaweza kufanya hilo jukumu la kuwachunguza wabunge wenzao, kama wao wenyewe pia wankula fedha za mfuko huo. Mafisi hayakaguani..............
 
pamoja na watu kusema mkoa wa Kilimanjaro unamaendeleo, nimekatiza hili jmbo huwezi amini kama lipo mkoa unaosifika hvyo. Ni aibu, barabara mbovu, hosptal hakuna, wengne kwenda shule za sekondar wanavuka mito (mvua ikiwa kubwa hamna kwenda kwani hata madaraja hakuna), maji hakuna (japo wamezungukwa na vyanzo vingi vya maji).
 
Kusema ukweli wamesahaulika
 
Jamaa ameshakata tamaa ya kurudi tena madarakani!
 
Back
Top Bottom