Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 13,222
- 18,381
Ukiacha hoja ya msingi pembeni, naomba nisahihishe udhaifu mkubwa wa kuandika kuhusu fedha hapa JF. Shilingi 2,880,000 na shilingi milioni 2,880,000 ni vitu viwili tofauti.
Tujitahidi tuongeze umakini.
Hebu tupe tofauti yake mkuu,maana na wewe umeandika kama yeye alivyoandika.