Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,924
- 122,192
Aangalie chura kama ipo
Aangalie chura kama ipo
Alitarajia kuyaonaKinachokushangaza ni kuonekana kwa boxer au kuna makende pia yalionekana kunako mruko.
Hahahaaaaa............... rangi ya wachawiBoxer Nyekundu? Ujue nguo za ndani zina maana yake (kila rangi)
Hapana tafuta mwanamke mmulize ina maana gani.Hahahaaaaa............... rangi ya wachawi
ameona jambo la ajabu kilaza huyuKinachokushangaza ni kuonekana kwa boxer au kuna makende pia yalionekana kunako mruko.
Hiyo boxer inauzwa mkuu?Ni wakati akimuombea kura mgombea ubunge wa CCM ndugu Kalanga. Source TBC habari!