KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
nenda bar kanywe kumekucha,inaelekea sugu humjuiwana mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu soko matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha ushabiki wa siasa na kuangalia nani atawafaa.msichague kwa kufuata sauti nzuri au mashairi yenye vina!!! Hayo yasikilizwe redioni!!! Mheshimiwa sugu una mambo mengi sana ya kushughulika nayo ambayo yangekutoa mno kisiasa bila kujali elimu yako ndogo ya kidato cha nne,soko matola is just one example but mbeya urban in general needs an intervention in urban planning matters. Have u ever asked yourself this question: Is tanzam highway portion from uyole to iyunga a highway or just an ordinary street?? What about taking active role in afforestation programs that we saw in the past?? Do people ask themselves why has mbeya micro climates changed? What role you and our waheshimiwa wengine wa mbeya playing in taming the changes?bonge la changamoto kwako sugu na wenzako nimewapa,kazi kwenu muda bado mnao.nenda bar ukanywe,hujui sugu ni nana.nawasilisha,now kazi yangu itakua kukagua kazi za wabunge wetu majimboni ili ukifika wakati tuwapime kwa alama walizoacha majimboni na sio kwa kupambana na kiti dhaifu cha spika na wasaidizi wake tu.
nenda bar kanywe kumekucha,inaelekea sugu humjui
watu wa arusha utawajua kwa viswahili vyao!haya nimeusoma utumbo wako,rudi kwenye mada sasaGrosery za mtaan kwetu zinajua nn wanywaj tunataka,Wanafunga saa 9uck na ukienda 12asubuhi ya siku inayofuata wanafungua bila shida kabisa na wanakukarimu mpaka mwenyewe unafurahi!!Amia huku kwetu uwe unapiga km kadhaa then unaenda anzisha thread!
ukisema hivyo hata mashabiki wa jk watakua na yao ya kukwambia aliyoyafanya,lakini je priorities je zimekaa sawa?hebu nitajie kitu kimoja tu ambacho sugu anaweza kujivunia for 3 years,kimoja tu pleaseungeuliza kwanza kaz zipi zimefanywa miaka miaka 3 mnataka tuwe kama ulaya wao miaka 50 wamefanya nn...naona sugu anawasumbua sana!
Msalimie Kanye West,na uamke usingizi wa ccm bila hivyo tutakuamsha na maji ya baridi
Hakuna kitu sipendi kama unafki,kwanza kawaulize wana mbeya kama mbunge wao hajafanya kitu,nimeshamshuhudia mara nyingi kwenye ujenzi wa mahospitali,barabara na mambo mengi ya kijamii,pili kwa nini huwaga hamleti uzi wa kuhoji ccm wabunge wao wamefanya nini mnaonaga chadema tu,acheni unafki...Wana Mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu Soko Matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha ushabiki wa siasa na kuangalia nani atawafaa.Msichague kwa kufuata sauti nzuri au mashairi yenye vina!!! Hayo yasikilizwe redioni!!!
Mheshimiwa Sugu una mambo mengi sana ya kushughulika nayo ambayo yangekutoa mno kisiasa bila kujali elimu yako ndogo ya kidato cha nne,Soko Matola is just one example but Mbeya urban in general needs an intervention in urban planning matters. Have u ever asked yourself this question: Is Tanzam Highway portion from Uyole to Iyunga a highway or just an ordinary street?? What about taking active role in afforestation programs that we saw in the past?? Do people ask themselves why has Mbeya micro climates changed? What role you and our waheshimiwa wengine wa mbeya playing in taming the changes?
Bonge la changamoto kwako sugu na wenzako nimewapa,kazi kwenu muda bado mnao.
Nawasilisha,now kazi yangu itakua kukagua kazi za wabunge wetu majimboni ili ukifika wakati tuwapime kwa alama walizoacha majimboni na sio kwa kupambana na kiti dhaifu cha spika na wasaidizi wake tu.
Wewe mtu au Robot? Jinsi yako ni Female or Male? Niambie hawa wamefanya nini- Rage, Sumar, Majimarefu, Futakamba, Sitta, Lusinde, Pinda, niishie hapo ingawa hata hao niliowaorodhesha sijui kama utaweza.ukisema hivyo hata mashabiki wa jk watakua na yao ya kukwambia aliyoyafanya,lakini je priorities je zimekaa sawa?hebu nitajie kitu kimoja tu ambacho sugu anaweza kujivunia for 3 years,kimoja tu please
Hey hey hey folks No party was mentioned in my post. So please don't drag this discussion towards that direction oowwkey?I spoke of him as a candidate and not a party he comes from. And this is where you are missing a point. I haven't discussed anything about any party here. Being an effective MP argely depends also on personal strategies and not merely the ticket you are sailing with,don't miss a point tafadhali.
Wana Mbeya mjini mara ijayo mchague mbunge ambaye atatumia muda mwingi kutatua matatizo mengi yanayowazunguka kama vile suala la kuondoa watu Soko Matola nk. Muda umefika sasa wa kuacha ushabiki wa siasa na kuangalia nani atawafaa.Msichague kwa kufuata sauti nzuri au mashairi yenye vina!!! Hayo yasikilizwe redioni!!!
Mheshimiwa Sugu una mambo mengi sana ya kushughulika nayo ambayo yangekutoa mno kisiasa bila kujali elimu yako ndogo ya kidato cha nne,Soko Matola is just one example but Mbeya urban in general needs an intervention in urban planning matters. Have u ever asked yourself this question: Is Tanzam Highway portion from Uyole to Iyunga a highway or just an ordinary street?? What about taking active role in afforestation programs that we saw in the past?? Do people ask themselves why has Mbeya micro climates changed? What role you and our waheshimiwa wengine wa mbeya playing in taming the changes?
Bonge la changamoto kwako sugu na wenzako nimewapa,kazi kwenu muda bado mnao.
Nawasilisha,now kazi yangu itakua kukagua kazi za wabunge wetu majimboni ili ukifika wakati tuwapime kwa alama walizoacha majimboni na sio kwa kupambana na kiti dhaifu cha spika na wasaidizi wake tu.
Hii ni lugha ya potential PRIVATE CANDIDATE wa Mbeya mjini ambaye nadhani anasukumwa na maendeleo ya mji wake na sio bendera wala mashairi ya wabunge!!! The guy wants results and not rhetoric, tafadhalini mumuelewe. Discuss issues and not persnalities and that is what great minds are made of!!!Msijifanye na nyinyi kuwa mburula, you should be different from magamba. Kim Kardashian/Kanye West hongera kwa kujifungua mtoto wa kike!