Mbunge wa mafia autema ubunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa mafia autema ubunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Malaria Sugu, Apr 3, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa BuLJi kutogombea Ubunge 2015!

  Mheshimiwa Mbunge Shah(Bulji) amefunguka na kusema kwamba hatogombea tena nafasi hiyo kwa kipindi cha nne mfululizo! Ameamua hivyo ili kupisha wadau wengine wajitokeze na kutoa mchango wao katika kuleta maendeleo zaidi kisiwani humo! Hata hivyo ameeleza masikitiko yake ya kushindwa kuleta mabadiliko makubwa kwa mda mrefu tangu aingie madarakani miaka 12 sasa!

  Kati ya mambo ambayo mbunge yamemhuzunisha ni juu ya kutoweza kufanikiwa kukamilika hata mradi mmoja kati ya ile aliyoiahidi tangu kipindi chake cha kwanza alipokuwa anaingia kuchukua nafasi hiyo!

  Miradi hiyo ni pamoja na, kutokuwepo kwa usafiri wa uhakika wa majini kwa wakazi wa kisiwa hicho, kutokamilika na kutokuwa na majibu ya uhakika juu ya mradi wa gati, kutojulikana kwa uhakika ni lini bara bara za mafia zitajengwa, kutokamilia kwa mradi wa Uwanja wa ndege kama ilivyoahidiwa kwa mara ya kwanza mradi ambao unafadhiliwa na MCA, kushindwa kusimamia Ilani ya ccm kutekeleza miradi mbali mbali kisiwani humo kwa vipindi vyake vyote vya uongozi, ikiwepo ile ya kujengwa kwa Chuo cha ufundi kwa kila wilaya, na shule angalau moja yenye A-Level, na mengine mengi


  Kutangaza Mapema kwa mh bulj kujiondoa ktk kinyanganyiro hichi kunatokana na vijana kadhaa wasomi kuonyesha mwelekeo wa kugombea ubunge kupitia vyama mbali mbali. tayari mijadala mikali kupitia face book imeanza kumuweka pabya Mh Bulj
  SOURCE: Kisiwa chetu cha Mafia face book
   
 2. i

  interprevist Member

  #2
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naona ameshiba, Magamba tunawajua. anakimbia kabla ya nguvu ya UMA haijamfagia.
   
 3. B

  Black Rhino Member

  #3
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndiyo amegundua leo? Ni wa chama gani huyo mkuu?
   
 4. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,210
  Likes Received: 3,622
  Trophy Points: 280
  Daah!Mafia na utalii wote ule hawana hata shule moja ya A-level?Siamini hii!
   
 5. Chriskisamo

  Chriskisamo Senior Member

  #5
  Apr 3, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  t.2015.cdm,wanaikimbia hii no
   
 6. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #6
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vijana wengi wameanza kujitokeza
   
 7. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wana JF nasisitiza tuzipokee taarifa kama hizi positively kuliko kuanza kuponda. Huyu mtu apongezwe kwa kuwaachia wengine wajaribu kinyume ili na majimbo mengine waige mfano wa mbunge wa Mafia. Kama tunatukana kila kiti then sisi siyo great thinkers. Nawasilisha
   
 8. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  duh, mh bulj atakbali kuachia au anajidai tu
   
 9. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu sio shule tu. hata chuo kimoja ameshindwa kuanzisha. lkn kwa kuwa amejua upepo wa vijana, ameamua kukaa chonjo
   
 10. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kuna kijana wa bi Lamra anagombea na ndo kaogopa
   
 11. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kutoka chama gani specifically?
   
 12. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,640
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Aache u.bw.ege huyo. Miaka minne ni mingi sana, akazane kutimiza yale alioahidi.
   
 13. S

  Shembago JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kasoma Upepo wa Arumeru,upepo unatisha ule!
   
 14. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Watu wanasoma alama za nyakati
   
 15. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  CDM tuanze kumuandaa NASSARI wa mafia mapemaaaaaaaaaaaaaaaaa.
   
 16. h

  haki na usawa JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 476
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Naona wenye muono wa mbali wamekataa kufia katika uongozi lakini wengine ni akina Mugabe mpaka Meno na Macho yakose kufanya kazi.
   
 17. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  kamanda said kubenea ameandaliwa rasmi kugombea kule, kaeni mkao wa kula
   
 18. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #18
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Sizitaki mbichi hizi!
   
 19. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  dah,huyu bwana mkubwa sipatii picha moto wake dah!
   
 20. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #20
  Apr 3, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  kubenea kwishiney
   
Loading...