Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina awaumbua wanaotaka kufuta "Legacy" ya Hayati Dkt. John Magufuli

Nchi hii watu wanaokula kupitia siasa wametugeuza kuwa wajinga na inawezekana wakatuchukulia hivo kutokana na kuwapigia kura wakati sifa za kuwa viongozi Hawana.Huyu si ndiye aliyechopoa samaki kwenye masufuria ya mgahawa wa bunge na kuwapima urefu.

Tena mikono yake ikiwa naked, hajui hata kuvaa gloves mjinga huyu.
 
MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina ametumia hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwashukia vikali kikundi cha watu wanaojiita wakosoaji wanaobeza na kukashifu mafanikio ya utawala wa Serikali ya awamu ya tano wakidai ilijaa ufisadi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mpina amehoji ni fisadi gani anayeweza kuongeza mapato na kudhibiti matumizi ya Serikali, kudhibiti rushwa na ufisadi na kuongeza bajeti ya maendeleo kutoka wastani wa asilimia 26 hadi asilimia 40 na kuwezesha kuanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa fedha zetu za ndani sambamba na kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi.

Mpina amehoji fisadi gani atenge na kutoa kiasi cha shilingi trilioni 1.01 kugharamia elimu bila malipo kuanzia shule za msingi hadi sekondari, kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kutoka bilioni 348.7 mwaka 2015 hadi bilioni 450 mwaka 2020.

Hatua ambayo imewezesha watoto wa masikini na wanyonge kupata fursa elimu bila shida yoyote tofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wa masikini walikosa fursa hiyo.

Mpina ameuliza ni fisadi gani ambaye anaweza kuongeza bajeti ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kutoka sh. Bilioni 31 mwaka 2015 hadi sh. Bilioni 270 mwaka 2020.

“Ni fisadi gani wa kununua vifaa vya kisasa, kusomesha madaktari bingwa hali iliyopelekea kuwezesha na kuimarisha matibabu ya kibingwa nchini kwa magonjwa ya moyo, figo, mifupa na ubongo ambapo imesaidia kupunguza idadi ya rufaa kwenda nje ya nchi kwa asilimia 95. Leo huduma hizi zinapatikana hapa nchini ambapo huko nyuma watu wengi walipoteza maisha kwa kukosa huduma”alihoji Mpina.

Pia Mpina ameuliza ni fisadi gani anayeweza kufungua njia zote za mawasiliano tangu akiwa Waziri na baadae Rais ambapo barabara za lami zimetandazwa kila sehemu, madaraja makubwa ya kimkakati yamejengwa, meli na reli mpya kujengwa na zilizokufa kufufuliwa, Ndege mpya 11 zimenunuliwa na viwanja vya ndege kujengwa sehemu nyingi ambapo imewawezesha watanzania kufika na kutamba kila kona ndani na nje ya nchi.

“Ni fisadi gani anayeweza kusambaza umeme kila kijiji ambapo vijiji vilivyopata umeme vimeongezeka kutoka 2,018 mwaka 2015 hadi vijiji 9,112 mwaka 2020, kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa Bwawa la Nyerere ambao unagharimu trilioni 6.5 ambao utawezesha nchi yetu kuzalisha umeme wa Megawati 2115 wa bei nafuu” ameongeza Mpina.

Mpina amebainisha kuwa ni fisadi gani afute mikataba ya kifisadi mingi iliyokuwa ikilinyonya taifa mfano IPTL, Aggreko na Symbion ambayo ilikuwa ikiligharimu taifa bilioni 719 kwa mwaka leo fedha hizi zinatumiwa kwenye shughuli za maendeleo ya wananchi.

“Ni fisadi gani aliyeweza kuumaliza ufisadi wenyewe, rushwa, ujangili, ujambazi, uvuvi haramu, madawa ya kulevya, mauaji ya vikongwe na albino, ajali za barabarani, aliyekomesha dhuluma kwa wananchi wanyonge”.alihoji.

Hivyo Mpina amesema tutaendelea kumkumbuka na kumuenzi Mbabe wa Vita Mtetezi wa Wanyonge, kipenzi cha wengi Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli kwa wema wake usiomithilika na kwa jinsi alivyopigana kiume kupambania maendeleo ya nchi yake.

“Naungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyesema kuwa ni nadra sana kupata viongozi wa aina ya Dk. Magufuli”amesema Mpina.

Mpina ameongeza kuwa tumeshuhudia pia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa maarufu kama Baraza la 75 lililokamilisha mkutano wake maalum uliolenga kumkumbuka na kumuenzi Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli, ambapo Umoja huo umetambua uwezo na jitihada alizokuwanazo JPM za kupambana na Rushwa na Ufisadi.

Pia kuboresha huduma, kujenga miradi mikubwa ya maendeleo na mageuzi makubwa ya uchumi kwa muda mfupi ambao umepelekea Tanzania kuingia uchumi wa kati katika kipindi kifupi cha miaka 5 badala ya miaka 10 iliyotarajiwa. Umoja huo wa Mataifa umetambua kuwa JPM aliwapenda sana Watanzania na aliipenda nchi yake.

Aidha Mpina amesema tunakumbuka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ziliamua kupeperusha bendera zake nusu mlingoti tarehe 26.03.2021 siku ya mazishi ya Dk. Magufuli ambapo pia tulishuhudia zaidi ya watu bilioni 4 duniani kote wakifuatilia tukio la mazishi yake.

“Hiyo ni heshima kubwa sana kwetu watanzania na duniani kwa ujumla kwa kuwa si kila kiongozi anapofariki kwa nafasi ya urais anapewa heshima hiyo kama aliyopewa Hayati Rais Magufuli”amesema.

Pia Mpina amepongeza Rais, Samia Suluhu Hassan Mwanamke Shupavu na Jasiri kwa uamuzi wake wa kukubali kuendesha kongamano maalum la kitaifa la viongozi wa dini kama sehemu ya kuendelea kuenzi na kutambua mchango Hayati Dk. John Pombe Magufuli uamuzi huu umegusa sana mioyo ya watanzania.

“Ndio maana nina kila sababu ya kusema wale wanaotumia kila aina ya mbinu kufuta ‘legacy’ ya Dk. Magufuli ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, watanzania wanamfahamu JPM kwa namna alivyoyagusa maisha yao, hivyo wenye chuki binafsi waache mara moja na badala yake tuungane na Rais wetu mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuendeleza mafanikio na kulijenga taifa letu. Ninajua Mungu wetu wa mbinguni kamwe hatatuacha” amesema Mpina.

Hata hivyo Mpina amesema pamoja na mafanikio mengi tuliyoyapata kwenye eneo la ukusanyaji wa mapato ameshauri Serikali kufanya tathmini ya vyanzo vya mapato ili kuibua fursa mpya na kuondoa changamoto zinazokwaza ukusanyaji wa mapato ili kuongeza mapato ya Serikali.

Pia ameshauri Wizara na taasisi zenye vyanzo vya mapato ziwasilishe fursa na changamoto zilizopo katika Kamati ya Bunge ya Bajeti kabla ya kusomwa Bajeti ya Serikali na Finance Bill kwa nia ya kuongeza wigo wa kukusanya kodi na kuondoa changamoto zilizopo.

Mpina pia ameshauri Serikali ikubali kuwekeza fedha katika miradi na maeneo yanayoweza kuongeza mapato ya Serikali kwa muda mfupi na kuendelea kuimarisha usimamizi kwa mujibu wa sheria.View attachment 1755497
Siwezi kusoma uchafu huu
 
Huwezi kuwa na maendeleo pasipo demokrasia
Huko Dubai mnakokusifu kuna demokrasia. Jaribu Saudi Arabia kuna maendeleo. demokrasia hailiwi. Unaweza ukawa nayo lakini ikawa demokrasia isyo na tija! demokrasia lazima iambatane na mambo mengine kama vile uwajibikaji. Kama nchi ina demokrasia lakinio ni mijizi mitupu maendeleo yatatoka wapi.
 
Huyu mnufaika mkubwa wa utawala wa magufuli.
Wakati alipokuwa anaanzisha shamba la mpunga morogoro Kijiji Cha dutumi kisaki, alitumia pesa nyingi za umma kutengeneza miundombinu ya umwagiliaji.

Alisababisha wanakijiji kukosa maji ya mashambani mwao, alichepusha mto upeleke shambani kwake.
Wakulima kiziba mferji ili nao wapeleke maji mashambani mwao. Walikamatwa na polisi na kuwekwa rumande.

Sasa mrija umekata anahangaika.
Alimtuma yule rafiki yake MLEVI akapime kwa rural samaki aliyekaangwa pale bungeni. Hana kipya huyu. Yaani unapima urefu wa mtu mfu/ samaki kupata urefu halisi wa mtu hai?
Elimu yake yenyewe ya kuonga alikuwa mtendaji wa KATA
 
MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina ametumia hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwashukia vikali kikundi cha watu wanaojiita wakosoaji wanaobeza na kukashifu mafanikio ya utawala wa Serikali ya awamu ya tano wakidai ilijaa ufisadi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mpina amehoji ni fisadi gani anayeweza kuongeza mapato na kudhibiti matumizi ya Serikali, kudhibiti rushwa na ufisadi na kuongeza bajeti ya maendeleo kutoka wastani wa asilimia 26 hadi asilimia 40 na kuwezesha kuanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa fedha zetu za ndani sambamba na kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi.

Mpina amehoji fisadi gani atenge na kutoa kiasi cha shilingi trilioni 1.01 kugharamia elimu bila malipo kuanzia shule za msingi hadi sekondari, kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kutoka bilioni 348.7 mwaka 2015 hadi bilioni 450 mwaka 2020.

Hatua ambayo imewezesha watoto wa masikini na wanyonge kupata fursa elimu bila shida yoyote tofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wa masikini walikosa fursa hiyo.

Mpina ameuliza ni fisadi gani ambaye anaweza kuongeza bajeti ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kutoka sh. Bilioni 31 mwaka 2015 hadi sh. Bilioni 270 mwaka 2020.

“Ni fisadi gani wa kununua vifaa vya kisasa, kusomesha madaktari bingwa hali iliyopelekea kuwezesha na kuimarisha matibabu ya kibingwa nchini kwa magonjwa ya moyo, figo, mifupa na ubongo ambapo imesaidia kupunguza idadi ya rufaa kwenda nje ya nchi kwa asilimia 95. Leo huduma hizi zinapatikana hapa nchini ambapo huko nyuma watu wengi walipoteza maisha kwa kukosa huduma”alihoji Mpina.

Pia Mpina ameuliza ni fisadi gani anayeweza kufungua njia zote za mawasiliano tangu akiwa Waziri na baadae Rais ambapo barabara za lami zimetandazwa kila sehemu, madaraja makubwa ya kimkakati yamejengwa, meli na reli mpya kujengwa na zilizokufa kufufuliwa, Ndege mpya 11 zimenunuliwa na viwanja vya ndege kujengwa sehemu nyingi ambapo imewawezesha watanzania kufika na kutamba kila kona ndani na nje ya nchi.

“Ni fisadi gani anayeweza kusambaza umeme kila kijiji ambapo vijiji vilivyopata umeme vimeongezeka kutoka 2,018 mwaka 2015 hadi vijiji 9,112 mwaka 2020, kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa Bwawa la Nyerere ambao unagharimu trilioni 6.5 ambao utawezesha nchi yetu kuzalisha umeme wa Megawati 2115 wa bei nafuu” ameongeza Mpina.

Mpina amebainisha kuwa ni fisadi gani afute mikataba ya kifisadi mingi iliyokuwa ikilinyonya taifa mfano IPTL, Aggreko na Symbion ambayo ilikuwa ikiligharimu taifa bilioni 719 kwa mwaka leo fedha hizi zinatumiwa kwenye shughuli za maendeleo ya wananchi.

“Ni fisadi gani aliyeweza kuumaliza ufisadi wenyewe, rushwa, ujangili, ujambazi, uvuvi haramu, madawa ya kulevya, mauaji ya vikongwe na albino, ajali za barabarani, aliyekomesha dhuluma kwa wananchi wanyonge”.alihoji.

Hivyo Mpina amesema tutaendelea kumkumbuka na kumuenzi Mbabe wa Vita Mtetezi wa Wanyonge, kipenzi cha wengi Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli kwa wema wake usiomithilika na kwa jinsi alivyopigana kiume kupambania maendeleo ya nchi yake.

“Naungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyesema kuwa ni nadra sana kupata viongozi wa aina ya Dk. Magufuli”amesema Mpina.

Mpina ameongeza kuwa tumeshuhudia pia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa maarufu kama Baraza la 75 lililokamilisha mkutano wake maalum uliolenga kumkumbuka na kumuenzi Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli, ambapo Umoja huo umetambua uwezo na jitihada alizokuwanazo JPM za kupambana na Rushwa na Ufisadi.

Pia kuboresha huduma, kujenga miradi mikubwa ya maendeleo na mageuzi makubwa ya uchumi kwa muda mfupi ambao umepelekea Tanzania kuingia uchumi wa kati katika kipindi kifupi cha miaka 5 badala ya miaka 10 iliyotarajiwa. Umoja huo wa Mataifa umetambua kuwa JPM aliwapenda sana Watanzania na aliipenda nchi yake.

Aidha Mpina amesema tunakumbuka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ziliamua kupeperusha bendera zake nusu mlingoti tarehe 26.03.2021 siku ya mazishi ya Dk. Magufuli ambapo pia tulishuhudia zaidi ya watu bilioni 4 duniani kote wakifuatilia tukio la mazishi yake.

“Hiyo ni heshima kubwa sana kwetu watanzania na duniani kwa ujumla kwa kuwa si kila kiongozi anapofariki kwa nafasi ya urais anapewa heshima hiyo kama aliyopewa Hayati Rais Magufuli”amesema.

Pia Mpina amepongeza Rais, Samia Suluhu Hassan Mwanamke Shupavu na Jasiri kwa uamuzi wake wa kukubali kuendesha kongamano maalum la kitaifa la viongozi wa dini kama sehemu ya kuendelea kuenzi na kutambua mchango Hayati Dk. John Pombe Magufuli uamuzi huu umegusa sana mioyo ya watanzania.

“Ndio maana nina kila sababu ya kusema wale wanaotumia kila aina ya mbinu kufuta ‘legacy’ ya Dk. Magufuli ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, watanzania wanamfahamu JPM kwa namna alivyoyagusa maisha yao, hivyo wenye chuki binafsi waache mara moja na badala yake tuungane na Rais wetu mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuendeleza mafanikio na kulijenga taifa letu. Ninajua Mungu wetu wa mbinguni kamwe hatatuacha” amesema Mpina.

Hata hivyo Mpina amesema pamoja na mafanikio mengi tuliyoyapata kwenye eneo la ukusanyaji wa mapato ameshauri Serikali kufanya tathmini ya vyanzo vya mapato ili kuibua fursa mpya na kuondoa changamoto zinazokwaza ukusanyaji wa mapato ili kuongeza mapato ya Serikali.

Pia ameshauri Wizara na taasisi zenye vyanzo vya mapato ziwasilishe fursa na changamoto zilizopo katika Kamati ya Bunge ya Bajeti kabla ya kusomwa Bajeti ya Serikali na Finance Bill kwa nia ya kuongeza wigo wa kukusanya kodi na kuondoa changamoto zilizopo.

Mpina pia ameshauri Serikali ikubali kuwekeza fedha katika miradi na maeneo yanayoweza kuongeza mapato ya Serikali kwa muda mfupi na kuendelea kuimarisha usimamizi kwa mujibu wa sheria.View attachment 1755497
Mwambieni aache kudemka!!!
 
LEGACY aliyonayo ni ya ubaguzi, ukanda, ujeuri, mauaji ya watu, uongo na propaganda. Asitufokee huyo chizi. Watu wamepotezewa ndugu, jamaa na marafiki na huyo shetani. Amekosesha familia wapendwa. Ameshiriki dhulma za mali za watu kwa kutumia viongozi wake na mamlaka yake. Yani huyo hakuna cha LEGACY ni a dark era in our history. Ever.
 
Katika maelezo ya Mpina hapo juu ..yaliyoletwa na mleta uzi yana sentensi hii
""mikopo ya elimu ya juu kutoka bilioni 348.7 mwaka 2015 hadi bilioni 450 mwaka 2020.''
Anaona raha kuitamka tu, angejua wanufaika tuliishi kama "mashetani" baada ya upindishaji wa sheriia ya Makati uliofanywa na Mwendazake bila kushirikisha Bunge...
Mama ameondoa huo utopolo na maisha sasa yapo mukide...
"Siri ya mtungi haijuae kata...mlikuwa mnafurahi tu wengine tulikuwa tunakaangwa mbaya'
 
LEGACY aliyonayo ni ya ubaguzi, ukanda, ujeuri, mauaji ya watu, uongo na propaganda. Asitufokee huyo chizi. Watu wamepotezewa ndugu, jamaa na marafiki na huyo shetani. Amekosesha familia wapendwa. Ameshiriki dhulma za mali za watu kwa kutumia viongozi wake na mamlaka yake. Yani huyo hakuna cha LEGACY ni a dark era in our history. Ever.
Chuki sio Nzuri
 
Chuki sio Nzuri
kwani Mwendazake hakusema mwenyewe yeye na pina ni vichaa waliopitia Mirembe?
Wakati wa uteuzi wa wagombea Uchaguzi Kamati iliwekewa Faili la jaa kuwa akili si sawa watu wake wakaliiba
Bado Mwenyekiti wa CCM Mkoa mwenye kituo cha TV na Redio alikumbushia huyu jamaa alishapitia Mirembe
Mpina anataka nini tena LEGACY basi aanze yeye kwanza kutibiwa kwani alisiamamisha malori 3 ya Msukuma kwa kupima samaki kwa rula, wakaoza wote
 
Huyu mnufaika mkubwa wa utawala wa magufuli.
Wakati alipokuwa anaanzisha shamba la mpunga morogoro Kijiji Cha dutumi kisaki, alitumia pesa nyingi za umma kutengeneza miundombinu ya umwagiliaji.

Alisababisha wanakijiji kukosa maji ya mashambani mwao, alichepusha mto upeleke shambani kwake.
Wakulima kiziba mferji ili nao wapeleke maji mashambani mwao. Walikamatwa na polisi na kuwekwa rumande.

Sasa mrija umekata anahangaika.
Nyie na kikundi chenu cha wapigaji iteni mkutano wa hadhara mje myaseme hayo,kama mtabaki salama,
 
MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina ametumia hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwashukia vikali kikundi cha watu wanaojiita wakosoaji wanaobeza na kukashifu mafanikio ya utawala wa Serikali ya awamu ya tano wakidai ilijaa ufisadi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mpina amehoji ni fisadi gani anayeweza kuongeza mapato na kudhibiti matumizi ya Serikali, kudhibiti rushwa na ufisadi na kuongeza bajeti ya maendeleo kutoka wastani wa asilimia 26 hadi asilimia 40 na kuwezesha kuanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa fedha zetu za ndani sambamba na kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi.

Mpina amehoji fisadi gani atenge na kutoa kiasi cha shilingi trilioni 1.01 kugharamia elimu bila malipo kuanzia shule za msingi hadi sekondari, kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kutoka bilioni 348.7 mwaka 2015 hadi bilioni 450 mwaka 2020.

Hatua ambayo imewezesha watoto wa masikini na wanyonge kupata fursa elimu bila shida yoyote tofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wa masikini walikosa fursa hiyo.

Mpina ameuliza ni fisadi gani ambaye anaweza kuongeza bajeti ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kutoka sh. Bilioni 31 mwaka 2015 hadi sh. Bilioni 270 mwaka 2020.

“Ni fisadi gani wa kununua vifaa vya kisasa, kusomesha madaktari bingwa hali iliyopelekea kuwezesha na kuimarisha matibabu ya kibingwa nchini kwa magonjwa ya moyo, figo, mifupa na ubongo ambapo imesaidia kupunguza idadi ya rufaa kwenda nje ya nchi kwa asilimia 95. Leo huduma hizi zinapatikana hapa nchini ambapo huko nyuma watu wengi walipoteza maisha kwa kukosa huduma”alihoji Mpina.

Pia Mpina ameuliza ni fisadi gani anayeweza kufungua njia zote za mawasiliano tangu akiwa Waziri na baadae Rais ambapo barabara za lami zimetandazwa kila sehemu, madaraja makubwa ya kimkakati yamejengwa, meli na reli mpya kujengwa na zilizokufa kufufuliwa, Ndege mpya 11 zimenunuliwa na viwanja vya ndege kujengwa sehemu nyingi ambapo imewawezesha watanzania kufika na kutamba kila kona ndani na nje ya nchi.

“Ni fisadi gani anayeweza kusambaza umeme kila kijiji ambapo vijiji vilivyopata umeme vimeongezeka kutoka 2,018 mwaka 2015 hadi vijiji 9,112 mwaka 2020, kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa Bwawa la Nyerere ambao unagharimu trilioni 6.5 ambao utawezesha nchi yetu kuzalisha umeme wa Megawati 2115 wa bei nafuu” ameongeza Mpina.

Mpina amebainisha kuwa ni fisadi gani afute mikataba ya kifisadi mingi iliyokuwa ikilinyonya taifa mfano IPTL, Aggreko na Symbion ambayo ilikuwa ikiligharimu taifa bilioni 719 kwa mwaka leo fedha hizi zinatumiwa kwenye shughuli za maendeleo ya wananchi.

“Ni fisadi gani aliyeweza kuumaliza ufisadi wenyewe, rushwa, ujangili, ujambazi, uvuvi haramu, madawa ya kulevya, mauaji ya vikongwe na albino, ajali za barabarani, aliyekomesha dhuluma kwa wananchi wanyonge”.alihoji.

Hivyo Mpina amesema tutaendelea kumkumbuka na kumuenzi Mbabe wa Vita Mtetezi wa Wanyonge, kipenzi cha wengi Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli kwa wema wake usiomithilika na kwa jinsi alivyopigana kiume kupambania maendeleo ya nchi yake.

“Naungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyesema kuwa ni nadra sana kupata viongozi wa aina ya Dk. Magufuli”amesema Mpina.

Mpina ameongeza kuwa tumeshuhudia pia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa maarufu kama Baraza la 75 lililokamilisha mkutano wake maalum uliolenga kumkumbuka na kumuenzi Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli, ambapo Umoja huo umetambua uwezo na jitihada alizokuwanazo JPM za kupambana na Rushwa na Ufisadi.

Pia kuboresha huduma, kujenga miradi mikubwa ya maendeleo na mageuzi makubwa ya uchumi kwa muda mfupi ambao umepelekea Tanzania kuingia uchumi wa kati katika kipindi kifupi cha miaka 5 badala ya miaka 10 iliyotarajiwa. Umoja huo wa Mataifa umetambua kuwa JPM aliwapenda sana Watanzania na aliipenda nchi yake.

Aidha Mpina amesema tunakumbuka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ziliamua kupeperusha bendera zake nusu mlingoti tarehe 26.03.2021 siku ya mazishi ya Dk. Magufuli ambapo pia tulishuhudia zaidi ya watu bilioni 4 duniani kote wakifuatilia tukio la mazishi yake.

“Hiyo ni heshima kubwa sana kwetu watanzania na duniani kwa ujumla kwa kuwa si kila kiongozi anapofariki kwa nafasi ya urais anapewa heshima hiyo kama aliyopewa Hayati Rais Magufuli”amesema.

Pia Mpina amepongeza Rais, Samia Suluhu Hassan Mwanamke Shupavu na Jasiri kwa uamuzi wake wa kukubali kuendesha kongamano maalum la kitaifa la viongozi wa dini kama sehemu ya kuendelea kuenzi na kutambua mchango Hayati Dk. John Pombe Magufuli uamuzi huu umegusa sana mioyo ya watanzania.

“Ndio maana nina kila sababu ya kusema wale wanaotumia kila aina ya mbinu kufuta ‘legacy’ ya Dk. Magufuli ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, watanzania wanamfahamu JPM kwa namna alivyoyagusa maisha yao, hivyo wenye chuki binafsi waache mara moja na badala yake tuungane na Rais wetu mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuendeleza mafanikio na kulijenga taifa letu. Ninajua Mungu wetu wa mbinguni kamwe hatatuacha” amesema Mpina.

Hata hivyo Mpina amesema pamoja na mafanikio mengi tuliyoyapata kwenye eneo la ukusanyaji wa mapato ameshauri Serikali kufanya tathmini ya vyanzo vya mapato ili kuibua fursa mpya na kuondoa changamoto zinazokwaza ukusanyaji wa mapato ili kuongeza mapato ya Serikali.

Pia ameshauri Wizara na taasisi zenye vyanzo vya mapato ziwasilishe fursa na changamoto zilizopo katika Kamati ya Bunge ya Bajeti kabla ya kusomwa Bajeti ya Serikali na Finance Bill kwa nia ya kuongeza wigo wa kukusanya kodi na kuondoa changamoto zilizopo.

Mpina pia ameshauri Serikali ikubali kuwekeza fedha katika miradi na maeneo yanayoweza kuongeza mapato ya Serikali kwa muda mfupi na kuendelea kuimarisha usimamizi kwa mujibu wa sheria.View attachment 1755497
Kwanza pesa zote ni Mali ya wananchi,Rais WA nchi wala Hana pesa za kutoa Ila wananchi wanatoa Kwa kulipa Kodi na tozo mbalimbali half MWISHO kufanya miradi ya maendeleo sio kinga wala justification ya kua msafi na kutopiga na kuifanya kinga dhidi ya ufisadi
 
Huyu mshenzi ni heri walimuondoa wizara ya mifugo alitufanyia ushenzi sana.

Wakatupigisha chapa Ng'ombe kwa 1-2k per head halafu ndani ya wiki chapa inafutika.

Wakaanza kututoza pesa chanjo wakati before chanjo tulikuwa hatulipii.
Nakazia hapo akwende huko akapime samaki na rula.
 
Back
Top Bottom