Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina awaumbua wanaotaka kufuta "Legacy" ya Hayati Dkt. John Magufuli

MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina ametumia hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwashukia vikali kikundi cha watu wanaojiita wakosoaji wanaobeza na kukashifu mafanikio ya utawala wa Serikali ya awamu ya tano wakidai ilijaa ufisadi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mpina amehoji ni fisadi gani anayeweza kuongeza mapato na kudhibiti matumizi ya Serikali, kudhibiti rushwa na ufisadi na kuongeza bajeti ya maendeleo kutoka wastani wa asilimia 26 hadi asilimia 40 na kuwezesha kuanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa fedha zetu za ndani sambamba na kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi.

Mpina amehoji fisadi gani atenge na kutoa kiasi cha shilingi trilioni 1.01 kugharamia elimu bila malipo kuanzia shule za msingi hadi sekondari, kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kutoka bilioni 348.7 mwaka 2015 hadi bilioni 450 mwaka 2020.

Hatua ambayo imewezesha watoto wa masikini na wanyonge kupata fursa elimu bila shida yoyote tofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wa masikini walikosa fursa hiyo.

Mpina ameuliza ni fisadi gani ambaye anaweza kuongeza bajeti ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kutoka sh. Bilioni 31 mwaka 2015 hadi sh. Bilioni 270 mwaka 2020.

“Ni fisadi gani wa kununua vifaa vya kisasa, kusomesha madaktari bingwa hali iliyopelekea kuwezesha na kuimarisha matibabu ya kibingwa nchini kwa magonjwa ya moyo, figo, mifupa na ubongo ambapo imesaidia kupunguza idadi ya rufaa kwenda nje ya nchi kwa asilimia 95. Leo huduma hizi zinapatikana hapa nchini ambapo huko nyuma watu wengi walipoteza maisha kwa kukosa huduma”alihoji Mpina.

Pia Mpina ameuliza ni fisadi gani anayeweza kufungua njia zote za mawasiliano tangu akiwa Waziri na baadae Rais ambapo barabara za lami zimetandazwa kila sehemu, madaraja makubwa ya kimkakati yamejengwa, meli na reli mpya kujengwa na zilizokufa kufufuliwa, Ndege mpya 11 zimenunuliwa na viwanja vya ndege kujengwa sehemu nyingi ambapo imewawezesha watanzania kufika na kutamba kila kona ndani na nje ya nchi.

“Ni fisadi gani anayeweza kusambaza umeme kila kijiji ambapo vijiji vilivyopata umeme vimeongezeka kutoka 2,018 mwaka 2015 hadi vijiji 9,112 mwaka 2020, kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa Bwawa la Nyerere ambao unagharimu trilioni 6.5 ambao utawezesha nchi yetu kuzalisha umeme wa Megawati 2115 wa bei nafuu” ameongeza Mpina.

Mpina amebainisha kuwa ni fisadi gani afute mikataba ya kifisadi mingi iliyokuwa ikilinyonya taifa mfano IPTL, Aggreko na Symbion ambayo ilikuwa ikiligharimu taifa bilioni 719 kwa mwaka leo fedha hizi zinatumiwa kwenye shughuli za maendeleo ya wananchi.

“Ni fisadi gani aliyeweza kuumaliza ufisadi wenyewe, rushwa, ujangili, ujambazi, uvuvi haramu, madawa ya kulevya, mauaji ya vikongwe na albino, ajali za barabarani, aliyekomesha dhuluma kwa wananchi wanyonge”.alihoji.

Hivyo Mpina amesema tutaendelea kumkumbuka na kumuenzi Mbabe wa Vita Mtetezi wa Wanyonge, kipenzi cha wengi Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli kwa wema wake usiomithilika na kwa jinsi alivyopigana kiume kupambania maendeleo ya nchi yake.

“Naungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyesema kuwa ni nadra sana kupata viongozi wa aina ya Dk. Magufuli”amesema Mpina.

Mpina ameongeza kuwa tumeshuhudia pia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa maarufu kama Baraza la 75 lililokamilisha mkutano wake maalum uliolenga kumkumbuka na kumuenzi Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli, ambapo Umoja huo umetambua uwezo na jitihada alizokuwanazo JPM za kupambana na Rushwa na Ufisadi.

Pia kuboresha huduma, kujenga miradi mikubwa ya maendeleo na mageuzi makubwa ya uchumi kwa muda mfupi ambao umepelekea Tanzania kuingia uchumi wa kati katika kipindi kifupi cha miaka 5 badala ya miaka 10 iliyotarajiwa. Umoja huo wa Mataifa umetambua kuwa JPM aliwapenda sana Watanzania na aliipenda nchi yake.

Aidha Mpina amesema tunakumbuka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ziliamua kupeperusha bendera zake nusu mlingoti tarehe 26.03.2021 siku ya mazishi ya Dk. Magufuli ambapo pia tulishuhudia zaidi ya watu bilioni 4 duniani kote wakifuatilia tukio la mazishi yake.

“Hiyo ni heshima kubwa sana kwetu watanzania na duniani kwa ujumla kwa kuwa si kila kiongozi anapofariki kwa nafasi ya urais anapewa heshima hiyo kama aliyopewa Hayati Rais Magufuli”amesema.

Pia Mpina amepongeza Rais, Samia Suluhu Hassan Mwanamke Shupavu na Jasiri kwa uamuzi wake wa kukubali kuendesha kongamano maalum la kitaifa la viongozi wa dini kama sehemu ya kuendelea kuenzi na kutambua mchango Hayati Dk. John Pombe Magufuli uamuzi huu umegusa sana mioyo ya watanzania.

“Ndio maana nina kila sababu ya kusema wale wanaotumia kila aina ya mbinu kufuta ‘legacy’ ya Dk. Magufuli ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, watanzania wanamfahamu JPM kwa namna alivyoyagusa maisha yao, hivyo wenye chuki binafsi waache mara moja na badala yake tuungane na Rais wetu mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuendeleza mafanikio na kulijenga taifa letu. Ninajua Mungu wetu wa mbinguni kamwe hatatuacha” amesema Mpina.

Hata hivyo Mpina amesema pamoja na mafanikio mengi tuliyoyapata kwenye eneo la ukusanyaji wa mapato ameshauri Serikali kufanya tathmini ya vyanzo vya mapato ili kuibua fursa mpya na kuondoa changamoto zinazokwaza ukusanyaji wa mapato ili kuongeza mapato ya Serikali.

Pia ameshauri Wizara na taasisi zenye vyanzo vya mapato ziwasilishe fursa na changamoto zilizopo katika Kamati ya Bunge ya Bajeti kabla ya kusomwa Bajeti ya Serikali na Finance Bill kwa nia ya kuongeza wigo wa kukusanya kodi na kuondoa changamoto zilizopo.

Mpina pia ameshauri Serikali ikubali kuwekeza fedha katika miradi na maeneo yanayoweza kuongeza mapato ya Serikali kwa muda mfupi na kuendelea kuimarisha usimamizi kwa mujibu wa sheria.View attachment 1755497
Ulifisi Wavuvi na wafugaji hata ukijipendekeza watanzania wote wanajua unyama wako Mpina.
 
Huyu mtu wenu jizi Kama Majizi mengine..Hana jipya jitu katili Kama M7 ..watu wa hivyo wasije Tena kuwa viongozi wa juu...
 
Busara itumike, legacy ni hali inayotokea bila kusukumwa na yeyote, kuna wakati utafika hiyo legacy itatawala vichwa vya watu, sio ya kutumiwa na wapiga debe na watafuta makuu.

Namshangaa Mpina,kumbe yeye hakutimiza wajibu wake, labda ndio sababu ya kukosa nafasi ya uwaziri 2021.

Nchi haijengwi na mtu mmoja ,kuna mipango ya maendeleo, hapangi mtu mmoja, mbona siwaelewi?
 
Misukuma bwana,kelele nyingi,roho zinawauma Lisukuma lenzao halikumaliza miaka 10!
Naona pia tunajaribu kuleta hoja za Ukabila kama umemsikiliza vizuri Mama Mhe. Samia jana amewambia kuwa Magufuli na Samia ni kitu kimoja tuache hoja upotoshaji na ukabila na tusiigeuze JF jukwaa la kutukana viongozi wetu na kuleta hoja za ukabila.
 
Pia kuboresha huduma, kujenga miradi mikubwa ya maendeleo na mageuzi makubwa ya uchumi kwa muda mfupi ambao umepelekea Tanzania kuingia uchumi wa kati katika kipindi kifupi cha miaka 5 badala ya miaka 10 iliyotarajiwa. Umoja huo wa Mataifa umetambua kuwa JPM aliwapenda sana Watanzania na aliipenda nchi yake.

Aidha Mpina amesema tunakumbuka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ziliamua kupeperusha bendera zake nusu mlingoti tarehe 26.03.2021 siku ya mazishi ya Dk. Magufuli ambapo pia tulishuhudia zaidi ya watu bilioni 4 duniani kote wakifuatilia tukio la mazishi yake.

“Hiyo ni heshima kubwa sana kwetu watanzania na duniani kwa ujumla kwa kuwa si kila kiongozi anapofariki kwa nafasi ya urais anapewa heshima hiyo kama aliyopewa Hayati Rais Magufuli”amesema.
HII NI NUKUU
"Legacy yawatawala haipo sana kwenye ujenzi wa vitu labda vitu hivyo viwe ni VIKUBWA SANA, vya muhimu sana au vya kipekee sana. Kwa mfano Great wall ya China au Pyramid zaMisri.

Lakini watawala wengi huacha legacy na kukumbukwa kwa MAWAZO mazuri yanayoishi, yenye manufaa ENDELEVU na UJENZI wa MIFUMO mizuri yenye tija kwa kizazi kimoja hadikingine katika kupambana na UMASIKINI, UJINGA, MARADHI na DHULUMA.

Thomas Jefferson wa Marekani hakumbukwi kwa visima vya maji alivyochimba, bali anakumbukwa kwa Tamko la Uhuru waMarekani (Declaration of Independence).

Abraham Lincoln hakumbukwi kwabarabara alizojenga huko New York na Michigan, bali anakumbukwa kwa tamko la kishujaa la kuachiahuru watumwa (Emancipation declaration) na Falsafa ya demokrasia (Philosophy of democracy).

Yeye ndiye aliyesema "democracy is a government of the people, by the people, for the people" definition ambayo vizazi navizazi vimeikariri duniani pote. Mtoto wa form one kule Tunguu (Zbar) au Lutindi (Korogwe) ukimtajia Abraham Lincoln hatakumbuka barabara alizojenga huko Maryland, bali atakumbuka "government of the people, by the people, for the people." Hiindiyo legacy.

Hata Mwalimu Nyerere hatumkumbuki kwa kujenga viwanda vyanguo vya MWATEX na URAFIKI, au kiwanda cha nyama cha TANGANYIKA PACKERS, bali tunamkumbuka kwa MAWAZO yanayoishi yakudai UHURU, HAKI, UMOJA na HESHIMA ya MWAFRIKA.

Kizazi kijacho hakitakumbuka Stendi za mabasi, wala madaraja yajuu yaliyojengwa miaka 20 au 50 iliyopita, maana hatachenyewe kitajenga yao. Tena ikibidi hizi flyover za sasa watazivunjiliambali ili wajenge nyingine zenyeubora zaidi, nyingi zaidi na za kisasa zaidi.

Kizazi kijacho kitaona legacy ya watawala wasasa kikikuta nchiyenye HAKI na UHURU kama vichocheo vya MAENDELEO YA WATU. Kwa hiyo KATIBA bora ni msingi wa LEGACY imara, Sheria nzuri ni kuta za LEGACY imara, na MIPANGO thabiti ni Paa la Legacy Imara. Legacy sio madaraja au stand za mabasi.

Muhimuzaidi Legacy hailindwi, inajilinda. Legacy haitetewi, inajiteteayenyewe. Asomaye naafahamu.!
 
Mpina huyu alikuwa haya kwao walimkataa kwasababu alipewa uwazuri akasahau na yeye anatoka kwa wafugaji. Ameshindwa kujenga lagacy kwao anajaribu kumjengea Hayati
 
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza.

Alisikika shabani akijibu swali darasani
 
Itafutika kama viongozi waliopo watafanya mema mengi kwa watu wao,hayo mambo ya mara kuna watu wanataka kufuta legacy yake ni hofu tu yawanufaika wake
 
MBUNGE wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina ametumia hotuba ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi kuwashukia vikali kikundi cha watu wanaojiita wakosoaji wanaobeza na kukashifu mafanikio ya utawala wa Serikali ya awamu ya tano wakidai ilijaa ufisadi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma, Mpina amehoji ni fisadi gani anayeweza kuongeza mapato na kudhibiti matumizi ya Serikali, kudhibiti rushwa na ufisadi na kuongeza bajeti ya maendeleo kutoka wastani wa asilimia 26 hadi asilimia 40 na kuwezesha kuanza kutekeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa fedha zetu za ndani sambamba na kuboresha utoaji wa huduma za kijamii kwa wananchi.

Mpina amehoji fisadi gani atenge na kutoa kiasi cha shilingi trilioni 1.01 kugharamia elimu bila malipo kuanzia shule za msingi hadi sekondari, kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu kutoka bilioni 348.7 mwaka 2015 hadi bilioni 450 mwaka 2020.

Hatua ambayo imewezesha watoto wa masikini na wanyonge kupata fursa elimu bila shida yoyote tofauti na miaka ya nyuma ambapo watoto wa masikini walikosa fursa hiyo.

Mpina ameuliza ni fisadi gani ambaye anaweza kuongeza bajeti ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kutoka sh. Bilioni 31 mwaka 2015 hadi sh. Bilioni 270 mwaka 2020.

“Ni fisadi gani wa kununua vifaa vya kisasa, kusomesha madaktari bingwa hali iliyopelekea kuwezesha na kuimarisha matibabu ya kibingwa nchini kwa magonjwa ya moyo, figo, mifupa na ubongo ambapo imesaidia kupunguza idadi ya rufaa kwenda nje ya nchi kwa asilimia 95. Leo huduma hizi zinapatikana hapa nchini ambapo huko nyuma watu wengi walipoteza maisha kwa kukosa huduma”alihoji Mpina.

Pia Mpina ameuliza ni fisadi gani anayeweza kufungua njia zote za mawasiliano tangu akiwa Waziri na baadae Rais ambapo barabara za lami zimetandazwa kila sehemu, madaraja makubwa ya kimkakati yamejengwa, meli na reli mpya kujengwa na zilizokufa kufufuliwa, Ndege mpya 11 zimenunuliwa na viwanja vya ndege kujengwa sehemu nyingi ambapo imewawezesha watanzania kufika na kutamba kila kona ndani na nje ya nchi.

“Ni fisadi gani anayeweza kusambaza umeme kila kijiji ambapo vijiji vilivyopata umeme vimeongezeka kutoka 2,018 mwaka 2015 hadi vijiji 9,112 mwaka 2020, kuanza kutekeleza mradi mkubwa wa Bwawa la Nyerere ambao unagharimu trilioni 6.5 ambao utawezesha nchi yetu kuzalisha umeme wa Megawati 2115 wa bei nafuu” ameongeza Mpina.

Mpina amebainisha kuwa ni fisadi gani afute mikataba ya kifisadi mingi iliyokuwa ikilinyonya taifa mfano IPTL, Aggreko na Symbion ambayo ilikuwa ikiligharimu taifa bilioni 719 kwa mwaka leo fedha hizi zinatumiwa kwenye shughuli za maendeleo ya wananchi.

“Ni fisadi gani aliyeweza kuumaliza ufisadi wenyewe, rushwa, ujangili, ujambazi, uvuvi haramu, madawa ya kulevya, mauaji ya vikongwe na albino, ajali za barabarani, aliyekomesha dhuluma kwa wananchi wanyonge”.alihoji.

Hivyo Mpina amesema tutaendelea kumkumbuka na kumuenzi Mbabe wa Vita Mtetezi wa Wanyonge, kipenzi cha wengi Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli kwa wema wake usiomithilika na kwa jinsi alivyopigana kiume kupambania maendeleo ya nchi yake.

“Naungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi aliyesema kuwa ni nadra sana kupata viongozi wa aina ya Dk. Magufuli”amesema Mpina.

Mpina ameongeza kuwa tumeshuhudia pia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa maarufu kama Baraza la 75 lililokamilisha mkutano wake maalum uliolenga kumkumbuka na kumuenzi Rais wa awamu ya tano wa Tanzania, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli, ambapo Umoja huo umetambua uwezo na jitihada alizokuwanazo JPM za kupambana na Rushwa na Ufisadi.

Pia kuboresha huduma, kujenga miradi mikubwa ya maendeleo na mageuzi makubwa ya uchumi kwa muda mfupi ambao umepelekea Tanzania kuingia uchumi wa kati katika kipindi kifupi cha miaka 5 badala ya miaka 10 iliyotarajiwa. Umoja huo wa Mataifa umetambua kuwa JPM aliwapenda sana Watanzania na aliipenda nchi yake.

Aidha Mpina amesema tunakumbuka nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa ziliamua kupeperusha bendera zake nusu mlingoti tarehe 26.03.2021 siku ya mazishi ya Dk. Magufuli ambapo pia tulishuhudia zaidi ya watu bilioni 4 duniani kote wakifuatilia tukio la mazishi yake.

“Hiyo ni heshima kubwa sana kwetu watanzania na duniani kwa ujumla kwa kuwa si kila kiongozi anapofariki kwa nafasi ya urais anapewa heshima hiyo kama aliyopewa Hayati Rais Magufuli”amesema.

Pia Mpina amepongeza Rais, Samia Suluhu Hassan Mwanamke Shupavu na Jasiri kwa uamuzi wake wa kukubali kuendesha kongamano maalum la kitaifa la viongozi wa dini kama sehemu ya kuendelea kuenzi na kutambua mchango Hayati Dk. John Pombe Magufuli uamuzi huu umegusa sana mioyo ya watanzania.

“Ndio maana nina kila sababu ya kusema wale wanaotumia kila aina ya mbinu kufuta ‘legacy’ ya Dk. Magufuli ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu, watanzania wanamfahamu JPM kwa namna alivyoyagusa maisha yao, hivyo wenye chuki binafsi waache mara moja na badala yake tuungane na Rais wetu mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuendeleza mafanikio na kulijenga taifa letu. Ninajua Mungu wetu wa mbinguni kamwe hatatuacha” amesema Mpina.

Hata hivyo Mpina amesema pamoja na mafanikio mengi tuliyoyapata kwenye eneo la ukusanyaji wa mapato ameshauri Serikali kufanya tathmini ya vyanzo vya mapato ili kuibua fursa mpya na kuondoa changamoto zinazokwaza ukusanyaji wa mapato ili kuongeza mapato ya Serikali.

Pia ameshauri Wizara na taasisi zenye vyanzo vya mapato ziwasilishe fursa na changamoto zilizopo katika Kamati ya Bunge ya Bajeti kabla ya kusomwa Bajeti ya Serikali na Finance Bill kwa nia ya kuongeza wigo wa kukusanya kodi na kuondoa changamoto zilizopo.

Mpina pia ameshauri Serikali ikubali kuwekeza fedha katika miradi na maeneo yanayoweza kuongeza mapato ya Serikali kwa muda mfupi na kuendelea kuimarisha usimamizi kwa mujibu wa sheria.View attachment 1755497
Huyu naona mzimu unamsumbua, watu tushasahau huyo mtu alifanya yake na muda wake ukaisha. Yapo mazuri na mabaya na yote yanaongelewa maana binadamu hakosi mapungufu.

Tatizo walimgeuza kama Mungu wao wakawa wanamuabudu na kumuita Mungu ( Kabudi na Kangi) ilifika hadi wengine kusema yeye ni zaidi ya Mungu (sheikh Alhad alitamka).

So atulie kwanza ni mjinga sana huyu, si ndio akileta ule upuuzi wa kupima samaki kwa rula. Very ignorant person.
 
MTETEZI WA GENDE HUYOOO....ASEME KWANZA ZILE TRILLION 1.5 ZILIPO NDIO AJE KUONGEA
 
Huna jipya lazima umusifu mwendazake amekupa ubunge ss umevimbiwa kodi zetu ila jua ktk uwanja sawa wa kisiasa bila kubebwa huwez kushinda ubunge
 
Ww ndio Mpina mwenyewe unaleta huu utoto hapa jukwaani?
 
Back
Top Bottom