Rweye JF-Expert Member Mar 16, 2011 16,958 7,512 Oct 25, 2021 Thread starter #21 Anaweza akawa mzuri kwa kikundi ama mtu binafsi ila usiombe akatamani jambo kutoka kwako na analihitaji hutakaa umdhbnie ndiye. Anafanya kibaha iendelee kuwa na mapori wakati kibaha ishakuwa mji na watu wanahangaika kutafuta maeneo ya kujenga
Anaweza akawa mzuri kwa kikundi ama mtu binafsi ila usiombe akatamani jambo kutoka kwako na analihitaji hutakaa umdhbnie ndiye. Anafanya kibaha iendelee kuwa na mapori wakati kibaha ishakuwa mji na watu wanahangaika kutafuta maeneo ya kujenga