Mbunge wa Iringa mjini, Mchungaji Msigwa akamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa mahabusu

Mkuu tunashukuru kwa taarifa! Ila mtu huenda mahabusu baada ya kusomewa mashtaka, hivyo usahihi ni kusema amepelekwa selo au kizuizini police!
 
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Taifa limegawanyika kabisa
Mkuu kama katiba ndio tatizo mbona aliyeipinga katiba mpya alipokuja kwetu tukampa nafasi agombee URAIS kupitia UKAWA?
Tatizo ni kuwa kwenye chama chetu hatujui tunachopigania ukiondoa ruzuku na dili za hapa na pale.
 
Siku nchi hiii ikifanya mabadiliko idadi kubwa sana ya makamanda Wa polisi itakimbia nchi wakifuatiwa Ma RC ma DC na wengineo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
USSR,
Tutafika mnakotaka bado kitambo kidogo

cea2fd5894ef3e20d25a9d9cc6d9a4fa.jpg
Sijui umeuelewaje ujumbe huo!
 
ni lini utekelezaji kuwa nchi ya viwanda utatimia?je,ni wa vyama pinzani au wakosoaji wa serikali wanakwamisha?,au ni hofu ya ukosoaji kwa serikali?UPINZANI upo kisheria wala si uhamiaji,pesa za umma zatumika kununua wanasiasa wa upinzani,hapo tarajia V-WONDER na si viwanda
 
Kama kukamatwa kwa kutuhumiwa tu ni sawa. Kikubwa haki itendeke na anaweza kufikishwa mahakamani itakuwa vizuri zaidi. Ni mahakama pekee inayoweza kutibitisha na kumtia mtu hatiani.
 
Hii issue ya kukamata kamata ingekuwa wakati wa JK tungeshasikia maazimio mengi kutoka kwa baraza la maaskofu , lakini sasahivi dhubutu
 
HIVI YULE UVCCM ANAYEZUNGUKA NCHI NZIMA NAKUZOA WAFUASI NDO NANI VILE! AU NI WAZIRI ANAKAGUA MIRADI YA SERIKALI.VP INGEKUWA CHADEMA LEO ANGEKUWJ LUPANGO.
 
Naona watu mapovu yanawatoka wakati hata sababu ya kukamatwa kwa Msigwa hawajui (bado anahojiwa).....subirini kwanza mjue sababu ni nini then ndio muendelee na mabishano yenu ya siasa.
 
Back
Top Bottom