Mbunge wa Iringa mjini, Mchungaji Msigwa akamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa mahabusu

Lifa chipaka alihukumiwa kwa uhaini na kambona naye alituhumiwa kwa jambo kama hilo kwa kuchochea uasi wa Jeshi mwaka 1964.

Hawa kina Msigwa wamefanya nini?

Lifa alianza kukamatwa akawekwa Mahabusu then ndio akaja kuhukumiwa baadae ndivyo kinachofanyika kwa Msigwa wanakamatwa wanashtakiwa wakipatikana na hatia wanafungwa kama walivyofungwa kina Lifa chipaka
 
Kosa la kina Msigwa unalijua lakini?
 
Hili swali kamuulize UD anayetoa amri ya kamata kamata. Hawajafanya siasa zozote zile za kustahili kukamatwa ni UdU tu!!!

Mbona Mbowe,Prof J, Mh.Selasini, Mbatia hawakamatwi na kutupwa Mahabusu?

Lazima wabadilishe aina ya Siasa zao Utawala huu sio wa Msoga ni wa Chatto
 
Kikwete aliwapa Uhuru ndio mliongoza kumdharau tu kama mbwai iwe mbwai
Alipata stahili yake hakudharauliwa. Ukitaka kuwa kiongozi wa watu jua kuna watu wana mawazo tofauti na yako.

Trump kaitwa "kubwa la waongo Marekani" na hakuna kilichotokea. Sijui hapa kwetu kingetokea nini kwa mtu kama huyo.
 
Kwani kuitwa kubwa la waongo ni tusi,chadema ni hatari
 
Wewe sema ametenda kosa gani...polisi hawakamati bila kosa...mbona Mbowe huwa halazwi mahabusu?
Itakuwa ni 'uchochezi' tu maana katika kazi Mh. yuko vizuri na anachangia pakubwa pato la taifa kupitia kilimo
 
Miaka 5 inaisha naona ni chaguzi ndogo na kununua upinzani,hapa kazi tu
 
Jioni hii Mbunge wa Iringa Mjini REV.Msigwa amekamatwa na Polisi akiwa Iringa Mjini na mpaka sasa yupo Mahabusu, na huenda akalala Mahabusu.

Hadi 2025 viongozi wa kisiasa wanaojifanya hamnazo, mavuvuzela na waropokaji, watakuwa wamejifunza kuwa heshima ni kitu cha bure.

Inashangaza Msigwa, mheshimiwa na mchungaji hajui kwamba kuheshimu mamlaka ni jambo takatifu. Kama haheshimu mamlaka anategemea aheshimiwe na waumini wake!!
 
USSR,
Tutafika mnakotaka bado kitambo kidogo

cea2fd5894ef3e20d25a9d9cc6d9a4fa.jpg
 
Gulwa,
Kuwa wazi ni nani huyo. Kama una maana Rais, kelele zake ni Amri. Ushahidi ni hao wanaobeza kelele zake, kwa lugha yako, wanaishia kulala mahabusu

Wewe huna la kufanya zaidi ya kuandika hayo nyuma ya keyboard na umejificha kwenye ID feki. Jitokeze hadharani uyaseme hayo, kama unao huo ubavu!
 
Back
Top Bottom