MITIMIREFU
Member
- Nov 7, 2011
- 7
- 4
katika hali isiyokuwa ya kawaida leo katika ofisi za mbunge wa jimbo hili kwa tiketi ya ccm mh Masele amepokea samasi ya kuitwa mahakama kwa ajili ya matokeo ya ubunge.
hali imetokea baada ya aliyekuwa akishitakiana nae kufari mh Shelembi na sasa kesi hiyo imeamua kufunguliwa upya nawapiga kura wa manispaa ya shinyanga kesi itafanyika mkoani Tabora hivi karibuni
Mzee unanichanganya, mbunge wa shinyanga , kesi inaenda kufanyika Tabora????????????????
Abanamhala baamulile loloo!!! badondakaga o-ngw'eshimiwa o magamba!!!!!! agwepandeeka na gweibona eeh nguzu ya batoji ba-kura.
haho lulu mlamale irangi.mkwebha?Ntwingelelwa!
Ogwenoyo no mhayo.akoisoma e namba mshisukuma nsajinsaji hoyoKatika hali isiyokuwa ya kawaida leo katika ofisi za mbunge wa jimbo hili kwa tiketi ya ccm mh Masele amepokea samasi ya kuitwa mahakama kwa ajili ya matokeo ya ubunge.
hali imetokea baada ya aliyekuwa akishitakiana nae kufari mh Shelembi na sasa kesi hiyo imeamua kufunguliwa upya nawapiga kura wa manispaa ya shinyanga kesi itafanyika mkoani Tabora hivi karibuni
hii imepotea njianaomba kuuliza neno'kaa vizuri' kwa wanawake lina maana gani? Maana mchana ukimwambia kaa vizuri anabana miguu lakini usiku ukimwambia kaa vizuri anapanua miguu!
Mzee unanichanganya, mbunge wa shinyanga , kesi inaenda kufanyika Tabora????????????????