Mbunge wa CCM, Musukuma kumtukana mbunge wa CHADEMA (Lema) ni sawa?

Ilifaa ujiulize kwanza "Mbunge wa Chadema Godbless Lema, kumtukana RAIS wa JMT ni sawa!?". Ukipata jibu then apply kwenye hilo Swali lako.
Mnajitoa fahamu, ilhali nyinyi ndio Wahuni watovu wa Nidhamu kupindukia.
C ndio maana aliwekwa ndani na anayo kesi mahakamani. Sasa kwann Msukuma asikamatwe. Ukiwa wajua kutukana ndio ccm wanakupa cheo
 
Msukuma na Lema ni level moja kwa Cheo na upayukaji. Hapo ngoma ni suluhu hakuna mshindi.
Msukuma ameeleza mtazamo wake kwa upeo wake na Lema ajibu kwa mtazamo wake.
Vyombo vya Dola vina majukumu mazito zaidi ya hili suala husika.
 
Mie kama mtanzania sijafurahishwa na matamshi ya Mbunge Msukuma wa CCM kwa kumtukana Mheshimiwa Lema.

Msukuma kamtukana Lema Kuwa ni "KIDAMPA". Lema anayofamilia yake inayomheshimu na wapiga kura wa jimbo la Arusha mjini, kumtukana mbunge wao ni halali.

Kama ingetokea mbunge yeyote wa opposition ndio akatoa matamshi hayo nafikiri kwasasa angekuwa ndani. Inabidi serikali au jeshi la polisi kuchukua hatua kwa kila anaetenda kosa. Wasichague kuwa wanaokamatwa ni opposition tu.

Hii inaleta mgawanyiko katika nchi. Huwezi kumtukana mtu mwenye familia yake na mwenye heshima yake katka jamii kirahisirahisi hivi.

Lema fungua kesi Mahakamani ushahidi ninayo ya video.

Jamani huyu ni kuachana nae, maana darasa hamna yeye ni mtafuta chochote, kama kuna mwenye ushahidi wa BIASHARA zake halali na mtiririkowa uanzishwaji wake pamoja na mapato yake atufahamishe, tufute tuyaaminiyo na kusikia kuhusu huyu MSUKUMA. Hebu tufanye yaliyo muhimu kujibizana na kujadili ayasemayo msukuma nikupoteza muda tu.:D:D:D:D:D:D
 
Mie kama mtanzania sijafurahishwa na matamshi ya Mbunge Msukuma wa CCM kwa kumtukana Mheshimiwa Lema.

Msukuma kamtukana Lema Kuwa ni "KIDAMPA". Lema anayofamilia yake inayomheshimu na wapiga kura wa jimbo la Arusha mjini, kumtukana mbunge wao ni halali.

Kama ingetokea mbunge yeyote wa opposition ndio akatoa matamshi hayo nafikiri kwasasa angekuwa ndani. Inabidi serikali au jeshi la polisi kuchukua hatua kwa kila anaetenda kosa. Wasichague kuwa wanaokamatwa ni opposition tu.

Hii inaleta mgawanyiko katika nchi. Huwezi kumtukana mtu mwenye familia yake na mwenye heshima yake katka jamii kirahisirahisi hivi.

Lema fungua kesi Mahakamani ushahidi ninayo ya video.
Lema is a criminal. Over.
 
Namshauri aachane naye! huyu kila mtu anajua ni mvuta bangi pengine wakati anatoa tamshi alikuwa ameshalipuliza
 
Unajua kuna maeneo wenye akili na busara wanajificha ila huwatumia watu mabarathuli kutimiza malengo yao yaliyofichika?
Msukuma ni miongoni mwa mabarathuli yanayotumiwa na wenye akili ndani ya ccm.
 
Mie kama mtanzania sijafurahishwa na matamshi ya Mbunge Msukuma wa CCM kwa kumtukana Mheshimiwa Lema.

Msukuma kamtukana Lema Kuwa ni "KIDAMPA". Lema anayofamilia yake inayomheshimu na wapiga kura wa jimbo la Arusha mjini, kumtukana mbunge wao ni halali.

Kama ingetokea mbunge yeyote wa opposition ndio akatoa matamshi hayo nafikiri kwasasa angekuwa ndani. Inabidi serikali au jeshi la polisi kuchukua hatua kwa kila anaetenda kosa. Wasichague kuwa wanaokamatwa ni opposition tu.

Hii inaleta mgawanyiko katika nchi. Huwezi kumtukana mtu mwenye familia yake na mwenye heshima yake katka jamii kirahisirahisi hivi.

Lema fungua kesi Mahakamani ushahidi ninayo ya video.
Lema alivyosema kumtukana na kumzomea lowassa ni Baraka toka kwa Mungu sasa yeye yamemrudia
 
Mie kama mtanzania sijafurahishwa na matamshi ya Mbunge Msukuma wa CCM kwa kumtukana Mheshimiwa Lema.

Msukuma kamtukana Lema Kuwa ni "KIDAMPA". Lema anayofamilia yake inayomheshimu na wapiga kura wa jimbo la Arusha mjini, kumtukana mbunge wao ni halali.

Kama ingetokea mbunge yeyote wa opposition ndio akatoa matamshi hayo nafikiri kwasasa angekuwa ndani. Inabidi serikali au jeshi la polisi kuchukua hatua kwa kila anaetenda kosa. Wasichague kuwa wanaokamatwa ni opposition tu.

Hii inaleta mgawanyiko katika nchi. Huwezi kumtukana mtu mwenye familia yake na mwenye heshima yake katka jamii kirahisirahisi hivi.

Lema fungua kesi Mahakamani ushahidi ninayo ya video.
Huyo musukuma wenyewe chizi na hakuna asiemjua
 
Back
Top Bottom