Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Hapo ataambiwa kuwa "Hajapikwa'' ...Hahaaa..Mh.Kishimba angekuwa mpinzani angeitwa MSALITI kwa nchi yake.
..au angeshutumiwa kuwa haoni mambo mazuri yanayofanya na serekali ya dr.john pombe joseph magufuli.
Mzee nadhani hufahamu na hupasi kuelimishwa endelea kuunga mkono1. suala la ukosefu wa ajira ni 'world problem' ambalo linahitaji mjadala mpana sana kutoka kwa wadau mbalimbali. wachumi wanasema matatizo ya uchumi yaani economic problems yanasababishwa na (a) scarce resources (b) unlimited wants. hivyo, employment opportunies are scarce and wahitaji wa ajira are unlimited hivyo lazima tatizo litokee. kusema kwamba elimu ya Tanzania ndio imetengeneza tatizo la ajira ni ufinyu wa kufikiri kwa sababu hata marekani ajira ni tatizo.
2. suala la kujiajiri linahusu sana ujasiriamali ambalo ni suala la ujuzi na uwezo binafsi nje ya shule. Hivyo ninaamini huyu msomi aliyemaliza chuo akiona ajira ni tabu lazima atumie uwezo binafsi kuanzisha biashara na pia asitegemee faida kubwa sana mwanzo. Tatizo vijana wanapojiajiri wanategemea faida kubwa na ya haraka na wanapokosa wanakata tamaa.
3. suala la mtaji wa kuanzishia biashara inaweza kuwa kikwazo kwa wahitimu ila si la kutisha sana. hapo ndio umuhimu wa team work unapoonekana, mkikutana vijana watano au kumi mkawa na wazo moja , itakuwa rahisi kukopesheka na kuanzisha biashara. mikopo ya halamashauri kwa ajili ya vijana ilikuwa ni fursa nzuri kwa vijana kujikwamua kutokana na ukosefu wa mikopo lakini kukopa hawakopi na wanaendelea kulalamika
Huyu jamaa asingefaa hata kujibiwaMkuu tatizo la ajira kwa Afrika ni la tofauti kabisa na la nchi za ulimwengu wa 1, kama Japan, America, Ulaya au Korea huko
Ulaya nchi kama Sweden labda mhitimu wa Udaktari akikosa ajira ni kwa sababu madaktari wapo wa kutosha, hawahitajiki na wagonjwa wanahudumiwa vizuri
Ila kwa Tz ni kuwa daktari amehitimu hana ajira ika Hospitali kuna mlundikano na foleni ndefu za kumsubiri dokta, huko vijijini hata hospitali hakuna, ikiwepo ipo kilometa 40 na haina madaktari
Huoni tofauti kubwa hapo?
Aiseee huyu jamaa nasikia darasa la Saba lakini mchango wake huu ni zaidi ya maprofessor 10 pale bungeni
Kweli mamaHapo ndiyo tofauti kati ya msomi na mtu aliyeelimika ilipo
1. suala la ukosefu wa ajira ni 'world problem' ambalo linahitaji mjadala mpana sana kutoka kwa wadau mbalimbali. wachumi wanasema matatizo ya uchumi yaani economic problems yanasababishwa na (a) scarce resources (b) unlimited wants. hivyo, employment opportunies are scarce and wahitaji wa ajira are unlimited hivyo lazima tatizo litokee. kusema kwamba elimu ya Tanzania ndio imetengeneza tatizo la ajira ni ufinyu wa kufikiri kwa sababu hata marekani ajira ni tatizo.
2. suala la kujiajiri linahusu sana ujasiriamali ambalo ni suala la ujuzi na uwezo binafsi nje ya shule. Hivyo ninaamini huyu msomi aliyemaliza chuo akiona ajira ni tabu lazima atumie uwezo binafsi kuanzisha biashara na pia asitegemee faida kubwa sana mwanzo. Tatizo vijana wanapojiajiri wanategemea faida kubwa na ya haraka na wanapokosa wanakata tamaa.
3. suala la mtaji wa kuanzishia biashara inaweza kuwa kikwazo kwa wahitimu ila si la kutisha sana. hapo ndio umuhimu wa team work unapoonekana, mkikutana vijana watano au kumi mkawa na wazo moja , itakuwa rahisi kukopesheka na kuanzisha biashara. mikopo ya halamashauri kwa ajili ya vijana ilikuwa ni fursa nzuri kwa vijana kujikwamua kutokana na ukosefu wa mikopo lakini kukopa hawakopi na wanaendelea kulalamika
Mzee huyu Jamaa sijui Kama anachoongea anakijua huko halmashauri pesa za vijana utazisikia kwenye kampeni tu ukienda ofisini hazipo, hao akina mama wanakopeshwa 50k, maximum 100k, ndani ya miezi6..., Hiyo ni pesa serious ya kusemea uanzishe biasharaNi kwer lakin sio simple, kama,ulivoeleza kuna hasara,vilevile
Mzee huyu Jamaa sijui Kama anachoongea anakijua huko halmashauri pesa za vijana utazisikia kwenye kampeni tu ukienda ofisini hazipo, hao akina mama wanakopeshwa 50k, maximum 100k, ndani ya miezi6..., Hiyo ni pesa serious ya kusemea uanzishe biashara
Mbunge huyu anaitwa Kishimba, sio maarufu sana ila alichoongea leo nimempiga alama
Kaongea kama dk 10 hivi
anasema elimu ya Tanzania ni kifungo cha maisha na sio ufunguo wa maisha kama msemo maarufu unaosema
sababu kaelezea ni kuwa mzazi unampeleka mtoto wako akiwa na miaka 7 shuleni anamaliza akiwa na miaka 25 huku anadaiwa milioni 10 au zaidi za bodi ya mikopo huku kazi hakuna na hana utaalamu wa kufanya jambo lolote la tofauti na ambaye hana degree huku akiambiwa ajiajairi
hapo mzazi kumpeleka hadi chuo kikuu umeuza ng'ombe kadhaa au hata mashamba kupata ada
Ajira zikitangazwa ni ajira 50 huku wanao apply ni 40,000
aisee hii kitu ni kweli kabisa mwenyewe nusura ningekuwa mhanga wa hii mamabo sema Mungu kanifanyia miujiza tu
hebu msikilizeni hapa
Mkuu tatizo la ajira kwa Afrika ni la tofauti kabisa na la nchi za ulimwengu wa 1, kama Japan, America, Ulaya au Korea huko
Ulaya nchi kama Sweden labda mhitimu wa Udaktari akikosa ajira ni kwa sababu madaktari wapo wa kutosha, hawahitajiki na wagonjwa wanahudumiwa vizuri
Ila kwa Tz ni kuwa daktari amehitimu hana ajira ika Hospitali kuna mlundikano na foleni ndefu za kumsubiri dokta, huko vijijini hata hospitali hakuna, ikiwepo ipo kilometa 40 na haina madaktari
Huoni tofauti kubwa hapo?
Itakuwa umetoka shule muda si mrefu au uzao mpya wa LB7.1. suala la ukosefu wa ajira ni 'world problem' ambalo linahitaji mjadala mpana sana kutoka kwa wadau mbalimbali. wachumi wanasema matatizo ya uchumi yaani economic problems yanasababishwa na (a) scarce resources (b) unlimited wants. hivyo, employment opportunies are scarce and wahitaji wa ajira are unlimited hivyo lazima tatizo litokee. kusema kwamba elimu ya Tanzania ndio imetengeneza tatizo la ajira ni ufinyu wa kufikiri kwa sababu hata marekani ajira ni tatizo.