Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Mbunge huyu anaitwa Kishimba, sio maarufu sana ila alichoongea leo nimempiga alama
Kaongea kama dk 10 hivi
anasema elimu ya Tanzania ni kifungo cha maisha na sio ufunguo wa maisha kama msemo maarufu unaosema.
Sababu kaelezea ni kuwa mzazi unampeleka mtoto wako akiwa na miaka 7 shuleni anamaliza akiwa na miaka 25 huku anadaiwa milioni 10 au zaidi za bodi ya mikopo huku kazi hakuna na hana utaalamu wa kufanya jambo lolote la tofauti na ambaye hana degree huku akiambiwa ajiajiri.
Hapo mzazi kumpeleka hadi chuo kikuu umeuza ng'ombe kadhaa au hata mashamba kupata ada.
Ajira zikitangazwa ni ajira 50 huku wanao apply ni 40,000.
----
Aisee hii kitu ni kweli kabisa mwenyewe nusura ningekuwa mhanga wa hii mamabo sema Mungu kanifanyia miujiza tu
hebu msikilizeni hapa.