Mbunge wa Bunge la JMT

Mbona mnairudiarudia sana???? Kama mnampenda semeni tuwaunganishe.... Daah mnakera aisee.....
 
tatizo hawafikishwi milimani ndo tatizo.......
wangekuwa wanafikishwa na mabwana zao nadhan wangeona mengi wasingefanya vituko ivi...
 
Mbali na ubunge ni kijana na anapenda maisha fulani angevaa hivyo bungeni sawa
 
Halima namkubali sana aisee. Kama angekuwa anapitia uzi huu ani PM poa sana.
 
Si nimeusoma ka mara 4 hivi huu ujumbe! Nakuhakikishia sikumuelewa mleta mada. Alitaka awe nini haswa?? Mbunge wa EALA au?? Yaani sasa mtatuletea picha hata kutoka bafuni. Sijaona tatizo labda kama hao tembo walihama sehemu kwa sababu ya mbunge kuvaa kikaptura. Nasi tungemshtaki kwa kuharibu mazingira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…