Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Ukitaka kujua Uwezo wa MTU wa Akili , moe nafasi ya kuongea !!.
Huyu wale unakuta wanaambiwa 'Jitahidi rudia rudia kusafisha Cheti, ili mradi upate sifa , kasome kadiploma '.
Ukifatalia kiundan hata kadiploma lake, kakapata Kwa kuunga unga na kuvuliwa chupi.
Kama MTU kafeli form four mara Kadhaa, hiyo diploma atapata kirahisi?
Tanzania yetu HAMNA CHUO KINAITWA "COMMUNITY CONCERN TRAINING INSTITUTE" hamna chuo hiko hapa Nchini katika Orodha ya Vyuo vya Nacte.
Lakini pili, hata jina la chuo limendikwa Kwa kukosewa badala ya Training imebandikwa Trainung .
Mwisho japo Si Kwa Umuhimu, Akisema labda walikosea kuandika jina la chuo, Sijui wakaandika aina ya kozi alosoma , Bado inakataa tu .
Akisema Chuo Kiko Nje ya Nchi, atumbie alienda Lini kusoma nje ya Nchi Mwaka 2013-2015 Hiyo Diploma, WAKATI HUO MWAKA WA 2013-2015 ALIKUA ANAHANGAIKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE NA SITA KWENYE SEKONDARI YA UBAGO???