Wanabodi,
Nimepata taarifa kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) amepata ajali mbaya ya barabarani wilayani Hanang' baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na basi la abiria.
Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita wakati Mh. Sugu akielekea Arusha.
Taarifa zinadai Mh. mbunge hajadhurika!
Tuendelee kufuatilia zaidi; na kama kuna mwenye taarifa zaidi na atujuze.
Wasalaam!
Tulia ueleze habari kwa kina mkuu.